THE REPORT
Senior Member
- Jan 13, 2021
- 167
- 203
Kusoma english medium raha sana.
Roger thatMan down.I repeat one man done.Soldier abort the mission.Retreat soldier.
π@Chakorii
Brother hizi ni hisia za mtu.mwamba siwezi kumpa jibu la kumfanya ajisikie vibaya.hata mimi naweza kuwa na hisia namtu nikimwambia hisia zangu akanijibu vibaya tena mbele ya kadamnasi hakika nitajisikia vibaya mno..pengine ikanipunguzia kujiamini tena.Chakorii hatimae ule mzizi wa fitina leo umeguswa..π€£ dada yangu ukikataa na hapa nakubatiza mjina uitwe "embe ng'ong'o"π
Mwamba bado anakazi ya kukushawishi..πBrother hizi ni hisia za mtu.mwamba siwezi kumpa jibu la kumfanya ajisikie vibaya.hata mimi naweza kuwa na hisia namtu nikimwambia hisia zangu akanijibu vibaya tena mbele ya kadamnasi hakika nitajisikia vibaya mno..pengine ikanipunguzia kutokujiamini tena.
So siwezi kumfanya mwamba akakosa kujiamini kwa sababu ya jibu baya pengin wengi watategemea mimi kumpa.
Kuna uzi fulani Ali jaribu kunigusia hisia zake nikamjibu vibaya,kiukweli kabisa nilijisikia vibaya ilinibidi kuzifuta zile comments.
Maisha ndo haya haya kaka huwezi jua mwamba itamuongezea kitu gani mimi kumshukuru kwa kunipenda.
THE REPORT nashukuru kwa kunipendaπ₯π₯π₯π§ββοΈπ§ββοΈπ§ββοΈπ§ββοΈ
Wacha bhanaMwamba bado anakazi ya kukushawishi..π
Swala la mahali Kaka nipo ntasimamia vilivyo...πWacha bhana