Kwa lipi Lowassa apewe nchi?

Lowassa alitakiwa achukue hii nchi kitambo sana.....BORA anayeiba halafu anazuia wengine wasiibe kuliko anayeruhusu hata vilaza kuendelea kutuibia. I will be the campain manager wa eneo ninalotoka hata kama ctalipwa.
 

HUONI HATA AIBU UNATOA POVU KWENYE DOMO KWA AJILI YA KIBAKA LOWASSA..yaani unajisemea kama upo kilabu cha MATAPUTAPU kwamba mwizi LOWASA akichukua nchi atawashughulikia vibaka wenzake nadhani ukiwemo na wewe. je unaongea haya upo MSALANI au kilabuni?
 
mti wenye matunda.............kama mnafikiri lowasa hafai kwa nni basi mnamjadili kwenye uraisi......ndo mana kwenye mpira watu wanasema aaaa mesi bora zaidi ronaldo hana lolote au virce versa ....lakini picha una yopata hapo anaetajwa pia ni bora au mbadala wa mwenzake maaana huwezi kusikia mesi ni bora KULIKO NGASA............HAWAFANANI...HAWALINGANISHI BT HUYU el huyu mi naona kuna kitu maana hatuchoki kumjadili lazima atakuwa anafaa maana nimejaribu kufanya kautafiti kasicho rasmi kwa watu 10 kila mtu ani tajie watu wa5 kutioka vyama vyote anayefaa kuwa rais kila mtu list yake haikosi lowasa regardles number yake ni ya ngapi...tuangalie kwa umakini jamani tusijetupa almasi chooni kama anafaaaa tumpe nakumshawishi agombee ila kama hafai tusimpe bt kila mtu ajipime honestly anipe wsagombea wake wa tano tukiacha unafk EL ATATOKEA kwa wengi
 
Lowassa alitakiwa achukue hii nchi kitambo sana.....BORA anayeiba halafu anazuia wengine wasiibe kuliko anayeruhusu hata vilaza kuendelea kutuibia. I will be the campain manager wa eneo ninalotoka hata kama ctalipwa.

nimejikuta nacheka tu ! Eti Bora mwizi anayezuia wengine kuiba , inakatisha tamaa sana .
 
Fedha inadhalilisha utu wa watu.Huyu jamaa ENL,hafai kabisa kupewa nchi hii.Hivi watanzania tumelogwa na nani?
 
Alimbaka MAMA YAKO..!!? No one, u or whoever else can STOP THE KING LOWASSA TO WHITE HOUSE...

ww ni kima tu, you have no effect, IF U DON'T BELIEVE MY WORDS....subiria 2015...utajuta..!!!

No one atamzuia, wala si ww kapurwa, mtoto wa mtaani, ur poverty of mind and material things, unaona donge kwa mali za wenzako..utabakia maskini wa kila kitu...na utakufa maskini...!!! U will live and pass like u never existed...!!! Poorest u...!!!


HUONI HATA AIBU UNATOA POVU KWENYE DOMO KWA AJILI YA KIBAKA LOWASSA..yaani unajisemea kama upo kilabu cha MATAPUTAPU kwamba mwizi LOWASA akichukua nchi atawashughulikia vibaka wenzake nadhani ukiwemo na wewe. je unaongea haya upo MSALANI au kilabuni?
 

jibu swali uko MSALANI au KILABUNI?
AU
 

So long as he is quit trying to hide what happened, he is grossly involved in the scandal! Mtu anayemfichia siri mwizi na yeye ni mwizi tu! He can't get out of this scandal easily my friend! Let him come out and tell us who was at the centre of the richmond scandal if was not him! He must come clean by telling the nation what happened if he is really a clean guy!
 
Kwanza hakuna binadamu aliye kamilika,au binadamu hai ni ngumu kuwa mtakatifu.Na watakatifu hawapo kwenye siasa.Kwa maana hiyo kigezo ni alama ngapi za mtu kugombea uongozi.Swali muhimu umejipanga vipi na utafanya nini.Tuache ushabiki Lowasa ni chuma cha pua,anae kataa ana matatizo.kwani vipimo vya uongozi ni kipaji kwanza.
 

ikulu sio hod hodi ya maisela ya kulaza wagonjwa. apumzike kwa amani. 2015 twamuhitaji rais mwanamke aidha atoke ukawa au ccm na awe msomi kama profesa ivi na mtaalam wa uchumi tanzania
 
Tukitaka tulikomboe hili taifa mfu ni kuchagua viongozi wasiokuwa na kashfa yoyote ya ubadhilifu wa hii nchi.Swala la watendaji safi wapo wengi sana.Tujifunze kuziangalia CV za viongozi tunaowataka na kuzielewa.Hatua ya mabadiliko ya hii nchi itaanza kufanywa kwa watz kuamua nchi ichukiliwe na wapinzani.Hata aingie malaika mjengoni hawezi kuikomboa hii nchi kama tu atakuwa anatumikia chama chenye laana ya ufisadi,dhuluma,mauaji na ubinafsi kama ccm
 
Kwa sababu ana ela nyingi za ufisadi, afya tata (by membe) na huwa anazigawa kanisan na mckitin

Ulizitaka azigawe mitaani. Anaongezewa Kwa sababu anajua siri ya kutoa. Kotekote msikitini au kanisani wanamuabudu Mungu aliye hai.
 

Tumechoka kujibu maswali yanayoulizwa na hawa MAZUZU
 
Ulibukeni wa watanzania na ccm wanatumia smart propaganda kutudanganya, EL amekusanya hela nyingi na sasa ndo mda mwafanya wa kuzitumia
 

Tunajiona tuko wengi no kweli, kwani wingi unaanzia ngapi?
Tumekifunza kwa wazambia, huwezi kumchagua Rais mtu mgonjwa.
 
Jaman watanzania kusoma tusijue hata picha hatuon kuwa loasa ni mwiz? Kunahaja ya malaika kuja kuwa ambia hafai ni fisadi?tuache mzaha wakias hicho.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…