Kwa lipi Lowassa apewe nchi?

umeolewaaa???
 
SASA KAMA UNAFAHAMU LOWASA ANAKOSA MPELEKE MAHAKAMAN, wtz bwana tumekalia kuimba ufisadi ufisadi,
tuwajibike,tatizo sisi tulio kwenye sehemu za utoaji huduma ndio vikaragosi tunawasumbua wtz kila kukicha kwa rushwa za 500/.turuhus u akili zifanye kaz kulko wingi wa laana na lawama. Hakuna binadamu aliyemkamilifu ila yule anayekiri na kutubu makosa ili asonge mbele.
 
Hizi takwimu naona wamezifanyia chumbani manake sijawahi ona utafiti wa hovyo kama huu kweli Tanzania ni zaidi ya ujuavyo
 
Alijichafua mwenyewe kwa kubeba msalaba alishindwa nn kukanusha?
 
haha point
 
Generally speaking,mtu yoyote wa ccm na ana nia ya kugombea urais,na alishiriki kwenye mchezo mchafu pale Dodoma wa kuruhusu Marehemu kupiga kura,na wajumbe wengine kupiga kura kwa facebook,whatsapps etc huyo hatufai hata chembe.
 
mkapa kasema ivi hakuna mwenye uwezo wa kua rais isipokua lowasa mkileta huo urojo wa kusin ukawa watashika hatam ila nina wasiwas na afya ya mzee mondoli mbona anatembea kama robot.mishipa ya shingo imekaza
 
Kama tu alilegeza msimamo kwa vimaneno vya profesa eti ushauri wa kitaalam atashndwa vp kuuza nchi kama wababe wa dunia wakiataka? Kama alishndwa kututetea watz kwa vijimaneno uchwara vya mtu mmoja, eti utaalam wa kisheria atawezaje kutupgania watz milioni 40. Apeleke kule mamvi yake hatuna shida naye mtu mzma unakubal kusingiziwa kama mtoto halafu leo unakuja kulialia tukupe urais.
 
Kwa iyo unamuona shujaa kwa kufyata mkia kwa ajili ya Ccm yenye wanachama wasiozidi milion 5 kati ya watz milioni 40 na ushee? Kama ana mapenzi zaidi kwa ccm kuliko watanzania si agombee ukatibu mkuu wa ccm.
 
UKAWA hatuhitaji mtu yeyote kutoka chama chakavu , na wala hatumuonei mtu , kila mtangaza nia gizani na mchafu atapewa za uso .
 
Kwani yeye ndio mpiga kura? Aende zake huko fisadi mkubwa huyo
mkapa kasema ivi hakuna mwenye uwezo wa kua rais isipokua lowasa mkileta huo urojo wa kusin ukawa watashika hatam ila nina wasiwas na afya ya mzee mondoli mbona anatembea kama robot.mishipa ya shingo imekaza
 
Kwa iyo unamuona shujaa kwa kufyata mkia kwa ajili ya Ccm yenye wanachama wasiozidi milion 5 kati ya watz milioni 40 na ushee? Kama ana mapenzi zaidi kwa ccm kuliko watanzania si agombee ukatibu mkuu wa ccm.

Kumbe ww mdogo sana kwa siasa za hapa Tz....

Hakuna anae ogopwa na CCM NZIMA NA WAPINZANI KAMA Lowassa....

JK...hakuna anae mhofia kama Lowassa...na anamhofia kweli kweli, kwani kamweka kampa support hadi kawa Rais...kila mtu anajua hilo...

Na hakuna MTU ANAYE WEZA KUTOA AMRI KAMA Lowassa ndani na nje ya CCM...

Na KAMA HUAMINI....subiria achukue IKULU 2015...uone akaina Nape, Sitta, Membe, sijui mali za Ridhione etc kama utawasikia tena....na wezi wote wa hela za SERIKALI WATAKIONA....!!! Na hajawahi kuufyata hata siku moja...ww kweli kichanga cha siasa...!!
 
ANA\YESEMA LOWASA NI FISADI ATHIBITISHE TUMSHITAKI KWA KUHARIBU MALI YA UMA VINGINEVYO NI CHUKI ZA KIPUMBAVU NA WIVU WA KISHABIKI MZEEE WA WATU WALA hata hajatangaza nia
 
ANA\YESEMA LOWASA NI FISADI ATHIBITISHE TUMSHITAKI KWA KUHARIBU MALI YA UMA VINGINEVYO NI CHUKI ZA KIPUMBAVU NA WIVU WA KISHABIKI MZEEE WA WATU WALA hata hajatangaza nia
kwanini alifukuzwa kibarua na BABA RIZ ???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…