Kwa lipi Lowassa apewe nchi?

Bora tuwe na Raisi Fisadi aliyetuibia na hela zake tunaziona hapa kuliko tuwe na mafisadi wanaoutaka Uraisi na hela zao ziko Swiss!
 
Naona malumbano yamekuwa makubwa kupita kiasi, tusiwaongelee kabisa watu ambao wametangaza nia. Mwisho wake tutakuja ona wenyewe nani kawa Rais!
 
Siku EL akishatangazwa rais tutamsii awatafutie kakijiji mkaishi huko ili mujione mlivyo wachache,yani haiingi akilini kila kona na kila kada ya watu wanamuhitaji EL nyi msona mshipa wa aibu wachache kazi kushinda mtandaoni na kujiona wengi eti hana sifa!!!
 
Mzee Mamvi akiingia ikulu na mimi namfuata kapteni komba msituni alikotangulia!!

Tafuta msitu mapema na wewe ukajigomeke maana dalili zote ushaziona na mwaka huu mtaenda msituni wengi tu mtuachie nchi yetu,tushaumizwa na j.k inatosha sasa tunamtaka EL alete ukomboz wa kweli,au unataka babuuu mzee wa wake za watuuuuuu
 
Lowassa ndiye rais wetu tunasubiri tarehe ya kuapshwa kwake watanzania ndiye mwenye uwezo wa kutuvusha kwenda nchi ya ahadi
 
My presdent is Lowassa
 
Tuna matumaini makubwa sana na wewe Mheshimiwa Waziri Mkuu Mstaafu, Edward Lowassa kwani uwezo wako unajulikana na kila Mtanzania

Uwezo wa kuibia anao ila sio kuwa Raisi wa Tz
 
My presdent is Lowassa

Lowassa ndiye rais wetu tunasubiri tarehe ya kuapshwa kwake watanzania ndiye mwenye uwezo wa kutuvusha kwenda nchi ya ahadi

hawezi kuwa rais labda awe rais wa manzese

kama mtu anakubalika,anakubalika tu jamani,lowassa ni chaguo la wengi!

Jibu kwanza kwanini asiwe Rais then uje na hoja nzito sio fantasy unazosikia vijiweni na kwenye magazeti ya udaku.alafu ukae ukijua wanaomsapoti lowasa hawachukui hata senti tano yake.
Rais wa majoka yenye makengeza!
 
lowasa ndo rais ajae taka usitake.We hela ngapi zimepigwa je kazipiga zote lowasa?Kama makanisani na misikitin dili zinaiga yeye lowasa kawazidi na roho ya kiimani kuliko hao wa nyumba za ibada au hata JK mwenywe? wivu wa kwenye chupi huo

Atakuwa raisi wa mama ako
 
Bora tuwe na Raisi Fisadi aliyetuibia na hela zake tunaziona hapa kuliko tuwe na mafisadi wanaoutaka Uraisi na hela zao ziko Swiss!

Unaakili timamu kweli namashaka na upeo wako wa kufikiri
 
Kumbe Ndallo ni zero kama laki si pesa!!!Ama kweli"Mazuzu yazuzuka".
 
Kama hii nchi ni ya bibi yenu sawa,lakini kama hii nchi ni ya watz Lowassa ni fisadi,tumeongozwa na dhaifu ambaye ndio swaiba wake,iweje tuongozwe na jizi jingine. Hii nchi sio ya urithi.
Lowassa ndiye rais wetu tunasubiri tarehe ya kuapshwa kwake watanzania ndiye mwenye uwezo wa kutuvusha kwenda nchi ya ahadi
 
Kura yangu itaenda kwa Mh Edward Lowassa iwapo atashughulikia ufisadi.

Hapa namaanisha atawashughulikia mafisadi wote waliotajwa kuanzia kipindi cha Mkapa na Jakaya Kikwete(ikibidi hata marais hawa waliopita).

Hii ndio ahadi pekee ninayoitaka kutoka kwa EL ili aipate kura yangu!

Ufisadi ndio msingi wa matatizo ya watanzania na tunataka kuona kiongozi mwenye uthubutu wa kuwashughulikia mafisadi...!

Cc: TeamLowassa
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…