Hamna kiongozi mzuri ccm atab mmoja
Izo sifa ndo tulizisikia kwa kikwete mwaka 2005 na tumeona kilichotokea soo nadhubutu kusema ccm haina mtu ata mmoja anaweza kuingoza hii nchi kwa sasa
Kwa mtu yeyote anayeelewa mambo mazuri ambayo yamewahi kutekelezwa na waziri mstaafu mh. ENDWARD NGOYAI LOWASSA.
Naomba kujuzwa ili nami ambaye sijui ubora wake niweze kujifunza na watanzania wote tumuunge mkono, yawezekana ndio atakuwa mkombozi wa taifa letu tukimpa madaraka ya urais kutokana na ubora wake wa utendaji.
Naomba mnielekeze ubora wake, ili nifute hoja yangu ya kuendelea kung'ang'ania ya kwamba Lowassa ni fisadi mkubwa katika nchi hii.
Nataka kujuzwa kwa sababu kuna watu wanadai Lowassa ndio kiongozi wa taifa awamu ya tano, nimekuwa najiuliza maswali ambayo hayana majibu, hata wanaomsapoti kama sexologist n.k sijawahi kuwaona wakitoa point za msingi ni kwanini?
Wanaona Lowassa anafaa kuwa rais wa awamu ya tano katika historia ya Tanganyika.
Huyu naye hakuna kitu maneno na kujaza mitakwimu kichwani isiyokuwa na tija, nchi hii inashida kubwa kwenye rushwa na ufisadi akipatikana wa kukemea mambo haya nchi itanyooka.
kwa takwimu za mikoa wilaya ukichanganya na wajumbe wengi wa NEC ukijumlisha na wabunge 150 waCCM walioapa kwenda kumchukulia fomu
Komba- "lowasa ni jembe"
Zungu-"lowasa ni mchapakazi"
lugola-"lowasa ni kiongozi"
Songea ulishangiliwA sana ni ishara kwambaunakubali by Kapten John Komba
kwa takwimu za mikoa wilaya ukichanganya na wajumbe wengi wa NEC ukijumlisha na wabunge 150 waCCM walioapa kwenda kumchukulia fomu
Komba- "lowasa ni jembe"
Zungu-"lowasa ni mchapakazi"
lugola-"lowasa ni kiongozi"
Songea ulishangiliwA sana ni ishara kwambaunakubali by Kapten John Komba