Kwa lipi Lowassa apewe nchi?

Ukiwa na mawazo ya busara huitaji mtu kuyapandisha paan ili wengine wayaone, taifa taifa c chumba cha dada zako,kama ni mmasai mwezio cc hatuujui huo umasai tunaitaj yle watanzania wanaitaj sio wamasai
 
kweli lowasa ni shujaa na anakublika kwa watanzania wenye akili timamu lakn wale wanafiki wanamsengenya sana,acheni sentesi zenye kukengeusha kwa watanzania
 
wote tutasema lakin watazania watahukumu nan? apewe dhamana ya nchi yetu,hilo tusubl uchaguzi,
 
kweli lowasa ni shujaa na anakublika kwa watanzania wenye akili timamu lakn wale wanafiki wanamsengenya sana,acheni sentesi zenye kukengeusha kwa watanzania

Shida ya watz wanaopenda mipira ya kona hawawez kumkubal EL kwasababu wanaamini akirudi mtandaoni mirija itakatwa, na ndiomaana hatapalipo pachafu wanafunika shela la harusi badala la ya sanda.
 

Bw.Lowasa hapewi Nchi bali anachukua Nchi!


Kuchukua nchi ni kupindua na kupata madaraka kimabavu. Ndio njia pekee EL atapata urais.
Hivi nani kasema lazima awe rais? Over our dead bodies kupata urais.
 
Kichefuchefu. Labda rais wa ukoo wake.
 
Kwa hili hapa lowasa apewe.
 

Attachments

  • 1418122156535.jpg
    43 KB · Views: 135
Nikukumbushe ameuliza swali zuri sana.nashukuru watanzania tumeanza kufunguka macho kuwa inabidi rais ajaye awe imara kupiga vita ufisadi na rushwa. Tukiendelea hivi nchi itaangamia.
Kwa sasa bahati mbaya lowasa hana sifa hiyo.track record yake inamshtaki.pia amezungukwa na wezi, wakwepa kodi na wafanya magendo.hawa wote wanampa y pesa zao ili akichukua urais waibe, wakwepe kodi, wauze madawa ya kulevya na y nk.haya mambo ndugu zangu sio masuala ya ushabiki, ni masuala mazito yanayohusu mustakabali wa nchi yetu.tusipokuwa makini tutaangamia. Hivyo ushauri wangu kwa wana jamiiforum,tunapotafakari nani ndiye rais ajaye tuache ushabiki wa kitoto...ushabiki huo ndio unaiponza nchi yetu mpaka sasa.
Kama mtu umepata bajaría que ya kuwa kwenye hizo kambi zinazomwaga mapesa, chukua kama alivyoshairi sumaye.lakini acha kupigia kampeni ufisadi halafu fedha za escrow zikitafunwa y unalia. Kumpigia kampeni lowasa ni kuwasifu wezi na y wabadhirifu wa mali ya umma.ni sawasawa na kuunga mkono ufisadi. Ndugu zangu, tuamke.tuache kutumiwa halafu tunacheka kama mazuzu wakati ndugu zetu wanakufa njaa vijijini.
 
Tunamuogopa sisi lkn hatuna sababu ya kumuogopa kwa sababu haogopeshi mtu ni sisi tu ndiyo tunaogopa kwa sababu ni waoga wa kuwa na kiongozi mwenye uwezo wa kuwaambia wapambe kuwa ikuru ni sehemu takatifu. Tusimuogope E. Lowasa 2015
 

Ukitaka kujua kama CCM wote ni kitu kimoja kumbuka walichofanya Dodoma kwenye Bunge Maalumu la Katiba. Hakuna waziri au mbunge wa CCM aliyesimama na kutetea makosa makubwa ya uchakachuaji wa mawazo ya wananchi. Tusitegemee jipya kutoka mgombea wa uraisi kutoka CCM kama akichaguliwa kwenye kiti cha uraisi 2015. Hakuna sijui EL, sijui Membe, sijui Wassira, sijui Pinda, sijui J. Makamba wote hawa ni kitu kimoja! Tafakari. .....
 
Yatakuwa yale yale ya Tibaijuka,BMK walipitisha wao kwa kuona kwamba,waziri lazima atokane na wabunge leo hii anapinga mbunge kuwa waziri kwa kuwa amefukuzwa uwaziri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…