LOWASSA mwizi sana, SLAA hana recodi yoyote ya kujivunia mpaka aitwe mkombozi wa taifa, tuache kupamabana kijinga mitandaoni
Kati ya hao mmoja lazma awe raia utake ustakeLOWASSA na SLAA wanaweza kupata urais kishabiki siyo kwa kumtaka kiongozi bora
Hivi kwenye ujenzi wa maabara na ununuzi wa zahanati amechangia kiasi gani?Ni uchapakazi wake Tu, hakuna anaemfikia
Nakubaliana na wewe Mkuu. Ufisadi wa Liwasa unawafanya aadhi ya watu ambao hapo awali walikuwa na akili leo wanaonekana ni misukule yakeLowasa ni ufisadi wake na akili ndogo za watz
Labda ni chati ya mafisadi.myeye ndo fisadi mkuuHivi kumbe yupo kwenye chati!!? sijaiona hiyo chati!
Hivi kumbe yupo kwenye chati!!? sijaiona hiyo chati!
Maamuzi yapi?LOWASSA ni mtu mwenye maamuzi na anayethubutu,si wa kulialia kama wanavyolia na kulalamika viongozi wa sasa,haijulikani mwananchi ni nani na mwenye maamuzi ni nani
Maamuzi ya kuanzisha shule za kata zisizokuwa na uwezo wa kutoa elimu?
Maamuzi endelevu ya kwenda kutafuta mvua ya kutengeneza?
Maamuzi ya kwenda Niuzilendi ku eti kujifunza kilimo cha vitunguu?
Maamuzi ya kushiriki mikataba ya richmond ya kitapeli huku akijua eti kwa sababu hata kikwete alifahamu?
Analipi la kutuambia huyu Watanzania huyu mtu?
Hatutaki. Unafiki mtupu
CCM, Lowasa kawaweka kwenye kona ........................... bado tu hajaanza kuwashambulia!!