D 007
JF-Expert Member
- Oct 31, 2012
- 206
- 147
hivi umeshawahi kujiuliza wakati mkiwa faragha na kipenzi chako ,
kabla ya kuanza yale mambo yetu yale.. Kila mtu huwa busy kumvua
mwenzake nguo ... Ila baada ya tendo ,ulishawahi kukumbuka kumvalisha
kipenzi chako ??? Au ndo kimya kimya kila mtu kivyake?