Kwa kweli hali ni mbaya

chaUkucha

JF-Expert Member
May 28, 2012
3,382
1,212
8a2b2c9c534ddb0107635439792010a4.jpg

January hii kuna mahali nimekunywa bia 2 na mchemsho wamenipa bill ya 45,000 ndo nataka niwape hii wanipe chenji yangu, hapa nilipo nimeambiwa nimsubiri manager wa bar coz me sio fala na sipendagi ujinga Mimi.
 
Utakalia hayo hayo lofa mkubwa we
 
na hiyo noti inaweza kumfunga huyu hajui kama ni kosa kuigiza kuediti au kubadilisha matumizi
 
Back
Top Bottom