Kwa kuwa Mvua imenyesha......Poleni watani zetu!

Ukitaka kujua kama raia bado wanalo joto la Simba na Yanga, pita mitaa ya Taifa cku ya game uone how the place z packed na hamasa uwanjani pia. Me bado nazimikia sana hii Derby
 
Simba makopo Simba makopo...Yanga imara Yanga imara!!Najikumbushia tulivyokua tunaimba zamani!YANGA DAIMA!

Lizzy tulikuwa tunaishi mtaa mmoja ila miji mbalimbali.. mwenye wivu na ajinyoge. Tatizo mashabiki wa Simba wan mdom kama mashabiki wa Manchester United.
 
Anyway...............hongereni wana Yanga kwa kutoa droo..... nyie ni kama Manchester United!!!!!!!! Droo ya Yanga kwa simba ni KUSHINDWA kwa SIMBA.

Bado tunawakaribisha Msimbazi....safari hii kusheherekea UBINGWA!!
 
Babu bana, yaani ndo kusema mnafurahi kusawazisha bao kiaina au?
ha ha ha ha ha
Nasikia uliweka rehani mjukuu wako
 
Back
Top Bottom