Watanzania
JF-Expert Member
- Jul 7, 2009
- 727
- 42
Takukuru osiha kaka umshikwa maskio? Unajidhalilisha mjomba achia tu ngazi umeingia kwenye historia mbaya kunatofouti gani kati ya wewe na watemi waliouza vijana wao kwa waarabu? Osea osea unazeeka vibaya
Kibaya zaidi inagharimiwa na kodi zetu WOTE wakati inafanya kazi za mabwana wao CCM. Inakera sana! Mi sioni tija ya hili LIHOSEA (I mean TAKUKURU) linatuongea gharama tu lingefutwa ili hiyo akina Hosea na wenzake watie akili.Weee kwa katiba hii mbaya tuliyonayo haaachi mtu ngazi. Cheki Kenya kiongozi anakashfa anakaa pembeni mpaka suala lake liishe, Tanzania bado. Hii sio taasisi ya kuzuia Rushwa bali ni taasisi ya kupamba na kukuza rushwa. So do not expect any mirracles from Hosea and Co.
It's another group of thieves, robbers, law-brokers and the list goes on, it's real sad and i feel like crying, laughing all at the same time. But we're going somewhere coz all their(TAKUKURU,CCM) dirty works, incompetence are now to the public judgment. I hate their deeds deeply, they need to be purged from the public offices (Dr Hosea and his crew) and CCM as the party at large, coz they have ears and they can't hear, they have eyes and they can't see are dead walking corpses