Kwa kumsafisha Chenge, Kiongozi wa TAKUKURU ajiuzulu.

Amani huku watoto wako wanakula mihogo ya kuchoma na kuchemsha kila siku asubuhi kwa miezi 12 (sio hata ya kukaanga coz mafuta ni ghali sana)
 
Kuifuta inaweza kuwa vigumu kwa kuwa ina umhimu wake mkubwa sana kama ingekuwa kwa maslahi ya taifa. Kikubwa tu ni kwamba Hosea asiwepo pale tena maana anatumiwa na kila fisadi. Nadhani kuna haja ya TAKUKURU kuwa responsible kwa bunge (wananchi) badala ya Rais au waziri. Hii iwe ni pamoja na uteuzi wa mkurugenzi wa TAKUKURU kuthibitishwa na Bunge. Nafikiri inaweza kutusaidia kiasi. Lakini kwa hii iliyopo sasa, naona kama in Taasisi ya Kulinda na Kudumisha Rushwa.
 
PCCB Chombo kilichoundwa kwa ajili ya kuzuia na kupambana na rushwa kimekosa rasmi uhalali mbele ya macho ya watanzania kwa kuwapamba wala rushwa. Kwa mara ya kwanza PCCB iliwasafisha Richmond kuwa mkataba wao wa kuzalisha umeme haukuwa na matatizo yoyote. Muda mfupi baadaye uchunguzi wa bunge ukagundua kuwa makataba kati ya serikali na Richmond ulikuwa umegubikwa na rushwa. Kama hiyo haitoshi kampuni hiyo ya Richmond ilifahamika rasmi kuwa ni feki na wala haikuwa imesajiliwa Marekani. Hilo likawa kosa kubwa la kwanza kwa TAKUKURU na wananchi wakaanza kupoteza imani na chombo hicho.

Sasa wiki hii PCCB ikatoa taarifa kuwa uchunguzi wa TAKUKURU na SFO umethibitisha bila shaka kwamba Chenge hana hatia ya rushwa. Cha kushangaza Uingereza kwa haraka haraka imekana kwa barua ya kiofisi kuwa si kweli kuwa Chenge amesafishwa na SFO kwa kuhusika kwake na rushwa ya ununuzi wa RADA. PCCB sasa imegeuka kuwa chombo cha kusafisha wala rushwa tena wakubwa, wala rushwa papa badala ya kupambana nao. Watanzania tunajiuliza kuna umuhimu gani kwa taasisi kama hii kuwepo?. Mafunzo wanayopata ya kupambana na rushwa yanawasaidia nini kama wanaendeleza kupoteza pesa za walipa kodi kwa kuipamba rushwa?. Kwa nini watanzania tuendelee kulipa kodi kuhudumia taasisi inayopamba rushwa badala ya kupambana na rushwa? Bunge la mwaka huu nina imani watakimulika chombo hiki na kuandaa utaratibu wa kukivunja kwa manufaa ya umma.

Kwani kuna tofauti gani kati ya CHENGE NA HOSEA????? Si walewale tu.
 
UTAMADUNI WA KUJIUZULU WATANZANIA WALISHAACHANA NAO KITAMBO, TOKA ENZI ZA MZEE MWINYI... ndio maana siku mzee wa Monduli anajiuzulu mliusikia moto wake.. LAZIMA WALAZIMISHWE LA SIVYO..:A S angry:
 
Hiii mada JK anaijua,na kwa kuwa HOSEA ni mtu wake wala autasikia neno lolote lile,na huyu hoesa angekuwa kama kule kenya tayari asha achia ngazi sema bongo ndio hivyo tena,tuna chekeana hata kama mtu amefanya ukumamae,maana inauzi sanaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa:yield::yield::yield::yield::yield::yield::yield::yield::yield:
 
Kweli nimeamini ule msemo kuwa Watanzania waliowengi hasa wa bara ni Wadanyanyika na mbumbumbu. Katika nchi za wenzetu mkate ukipanda bei tuu sekeseke lake usiombe,sisi hapa mambo ya msingi kama PCCB kutoa tarifa za kumbeba mtu ambaye ananuka rushwa Wadanganyika tunakenua meno na kubaki kulalamika. Nahisi aliyetuloga amefunga akili zetu na funguo kishaakazitupa baharini. Mungu tunakuomba uingilie kati Wadanganyika wataisha. Inaniumaaaaaaaaa sanaaaaa.

natamani kumiliki AK 47!
 
Kuifuta inaweza kuwa vigumu kwa kuwa ina umhimu wake mkubwa sana kama ingekuwa kwa maslahi ya taifa. Kikubwa tu ni kwamba Hosea asiwepo pale tena maana anatumiwa na kila fisadi. Nadhani kuna haja ya TAKUKURU kuwa responsible kwa bunge (wananchi) badala ya Rais au waziri. Hii iwe ni pamoja na uteuzi wa mkurugenzi wa TAKUKURU kuthibitishwa na Bunge. Nafikiri inaweza kutusaidia kiasi. Lakini kwa hii iliyopo sasa, naona kama in Taasisi ya Kulinda na Kudumisha Rushwa.

Hata kama atathibitishwa na bunge, kama anapendekezwa na Rais labda toka CCM na CCM ndio ina majority bungeni watampitisha tu ili kulinda chama. Kinachotakiwa ni kubadilisha katiba, MCHAKATO MZIMA WA KUTEUWA WATU KAMA HAWA UBADILIKE KABISA, UWE INDEPENDENT NA RAIS ALIYE MADARAKANI.
 
tunaitaji katiba kama ya kenya, sasa hivi viongozi wote mafisadi wanakamatwa na kuachia ofisi za umma na kuadhibiwa. Sisi atuwezi hadi katiba ibadilike.
 
Rich Man of Monduli ( Lowasa) aliondoka kwa shinikizo la bunge na sio serikali. Some few credit for six kwa hilo. Lakini inaonyesha serikali yetu haina nia ya kuwawajibisha wale wanaotakiwa kuwajibika ( chenge, Hosea)

Serikali yetu inacheza comedy ya kuwatoa watu kafara( Liyumba balali). Peoplea power is needed now

Wanzania wote na wana CCM tukiwemo CCM wameanza ushindi wao kwa kututia vidole MK*****I
 
Back
Top Bottom