Kwa kuficha"uchi " wa maradona germany kupewa tuzo ya timu yenye nidhamu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwa kuficha"uchi " wa maradona germany kupewa tuzo ya timu yenye nidhamu

Discussion in 'Sports' started by Pdidy, Jul 12, 2010.

 1. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #1
  Jul 12, 2010
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,417
  Likes Received: 5,687
  Trophy Points: 280
  Uongozi wa fifa
  unapanga kuwapa heshima ya timu yenye nidhamu timu ya germany kwa kuficha uchi wa maradona
  wakiongea na mwandishi wetu baadhi ya wajumbe wamependekeza ustaarabu walioufanya wachezaji wa germany kwa kuwafunga argentina wasifanikiwe kuelekea final ambapo ingemgarimmu maradona kuvua nguo na kubakia uchi kama alivyosema...kwa upande mwingine tunaunga mkono kwa hili na nafikiri wasimsahau na yule muller wao aliewafikisha apo walipoishia

  tunawatakia uchaguzi mwema
   
Loading...