kwa kiwango hiki cha baridi tutaganda

Lakini ni rahisi kupambaba nayo kuliko joto[emoji16][emoji16]
Kwa kweli hapa ni nipo ndani ya mkoti kama napanda mlima vile na .misoksi ya wachezaji mpaka gotini[emoji38][emoji38][emoji38] sitaki utani
Nmekosa gloves za mabodaboda tu
 
fanyeni kijiwekeza ikifikia pikindi kama hiki mnafanya utalii kuja mikoa ya pwani kukwepa hiyo hali
 
kipindi hiki ukiniambia niende njombe au makete siendi hata kwa fimbo
 
πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…