kwa kiwango hiki cha baridi tutaganda

Aisee ni hatar, hata muda wa kuamka pua mawazo, unawa kuchemsha hata maji ya kuoga alfajiri dah
Huku kutawaza tu maji ya baridi shida na kuyashika maji, viganja na vidole vyote vinakufa ganzi kwa muda..
 
Pole shoga yangu,
Kunywa kahawa time yote iwepo kwa chupa hapo pembeni πŸ˜‹
Yaani mie kahawa hata ukifungua kopo lazima kichwa kitauma hata week...mie na kahawa mbali mbaliπŸ™Š! Ushamba mzigo😜🀸
 
Duh yaani mnalalamika Kwa nyuzi joto6?huku Sisi wiki nzima hii Ni nyuzi joto 0 inaenda mpaka 0-6.barafu Tu ukiamka asubuhi
 
Huwezi kuganda bado naweza kusema ni kiwango cha chini ila nafuu. Nilisha experience hadi -2Β°C na watu wanaishi kama kawaida na wala hawagandi.
 
Sisi watu wa dar tunashangaa ni vitu gani hivi mnatueleza[emoji23][emoji23][emoji23].

Na tuko msimu wa baridi tunajifunika usiku[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Naskia ni mwendo wa kulowesha mashuka tu na hamlalagi na nguo?! [emoji2817][emoji2817]

Tunalowesha godoro lote na maji ya chumvichumvi kutoka kwenye chemchem ya Katerero kisha tunalala juu yake ndo inakuwa ahueni ya joto.

Nje ya hapo hasira inapanda na kusababisha kunyanduana kichovu.
 
Niliwahi ishi India baridi niliyokutana nayo Punjab ni hatari sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…