Randy orton
JF-Expert Member
- Apr 29, 2019
- 1,338
- 3,575
Hakuna utafiti wowote wa kisayansi ambao serikali inaweza kuja nao ambao unajustify kupinga biashara ya kilimo cha bangi zaidi ya uoga na unafki.
Pombe ina madhara makubwa zaidi ya bangi, tafiti zote za kisayansi zinathibitisha hivyo, taarifa za serikali ya Tanzania zinaonyesha TBL (pombe) ni miongoni mwa kampuni 5 zinazolipa kodi nyingi zaidi Tanzania, na bado kwenye madhara inaishinda bangi.
Arusha , Mafinga na sehemu kibao Tanzania wanaweza kulima bangi na kuuza kwenye masoko makubwa duniani serikali iweke huko tozo ipunguze makali kwa watanzania.
Huo unafki wa kijifanya mnalinda vijana at the same time mnaruhusu hao hao vijana wavute sigara wanywe cuka na roboti ambazo ndizi zenye madhara zaidi umepitwa na wakati.
Uoga, ulafi na unafki wa viongozi wetu ndio unapelekea watu kutokuwa wabunifu kwa vyanzo vya wazi kabisa kama kilimo cha bangi