Kwa kingereza tafadhali

Kwa kingereza tafadhali

Untie

Member
Joined
Dec 3, 2014
Posts
74
Reaction score
16
Kuchemsha mayai na mayai yaliyochemshwa. Kupika chai na kuchemsha chai
 
Kama siyo hivyo useme maana swali halijaeleweka.
 
Samahani mtoa swali.. na mimi naomba mnisaidie kutafasiri sentensi hii kwa kingereza:
Wanafanya kazi kwa mazoea
 
mmmm... huyo aliyesema 'cooking tea' nadhani kama aliingiaingia darasani mwalimu wake alikuwa hajala siku hyo alikuwa na mgogoro na mke wake, mume wake, rafiki yake wa kike ama ragiki yake wa kiume au pengine hamnazo kabisaaaaaa.....
 
mmmh.. Labda. 'you do work for usual' au you do work as usual.
 
mmmm... huyo aliyesema 'cooking tea' nadhani kama aliingiaingia darasani mwalimu wake alikuwa hajala siku hyo alikuwa na mgogoro na mke wake, mume wake, rafiki yake wa kike ama ragiki yake wa kiume au pengine hamnazo kabisaaaaaa.....

Kwahivo ni boiling tea ee..?
 
Back
Top Bottom