Marek18
Member
- Apr 26, 2020
- 20
- 17
Kwa akina Rama kulikua ndio kuna video mtaa mzima.
Kila ilipokua inafika Saa 12 naoga huyooo Kwa WA RAMA, mda mwingne wakiivisha nipo mara moja moja nilikua nakula kwa WA RAMA.
Sasa siku Moja nipo nacheki movie Mara nikakaribishwa msosi ile nafika dinning room Mara paaaaap MSHUA a.k.a dingi as well as Mzee WA kazi namwona na yeye Yupo
Duuh Toka siku ile mpaka Leo sikuwahi kwenda kwa WA RAMA...
Sio kwa alichonifanyia MZEE WA BWAX(mshua)