Asprin
JF-Expert Member
- Mar 8, 2008
- 68,012
- 95,358
Afu nilikuwa nakutafute nikustue uwe makini. Umenielewa au nitumie lugha yetu?na mengine kwenye mafaili eeeh?
Afu nilikuwa nakutafute nikustue uwe makini. Umenielewa au nitumie lugha yetu?na mengine kwenye mafaili eeeh?
Hehehe! Naona umeanza vitu vyako.aha kweli bana wiki 3 is too much... I was talking about one to 3 days.... that kind of woman is either very cold au anataka kukukomoa... u know what am saying?
Mengine yapi tena?na mengine kwenye mafaili eeeh?
Afu nilikuwa nakutafute nikustue uwe makini. Umenielewa au nitumie lugha yetu?
Mengine yapi tena?
ooow Chrispin nimesahau... ngoja nta edit posti zangu kwa ajili yako...Hehehe! Naona umeanza vitu vyako.
Ngoja nitafute dikshenare yangu. Hii kusoma mashule ya kata bana LOL!
Anatuonea wivu, we mwache tu.Mengine yapi tena?
akikuambia kuna jamaa kanifurumusha kwa mastaili ya ajabu ajabu,kanichubua?. Wewe kinachokusumbua ni mwili wako siyo? Basi kwa taarifa yako huo mwili unaosema wako jamaaaaaaa wanachezea kwa sana tu yaani daily(isipokuwa mkeo/mpenzio)sasa hapo utasemaje? Si ni mwili wako? Umeruhusu jamaa wakaumege?.............hii logic ya...mwili wangu inamatumizi yake.ukiimissuse,umekwisha.kwani nilipokabidhiwa "niliazimwa" au "nilipewa"? Kama nilipewa, basi ni haki yangu..........! Hata nikipewa mara moja na kunyimwa ya pili (on the same day/night), lazima sababu pia niipate kwamba kwanini moja leo, na sio 2, 3, 4...... Sembuse siku nzima? Kwanini nisijue kinachoisibu sehemu ya mwili wangu? Hata kama ni vipele, si mimi wa kuweka dawa kama inahitajika? Mimi naona una lako bana.....!
Well said kiongozi! Now she can read it again and again!
Thanks! Leo naona utakuwa umeamkia upande wa kushoto. Umerejea kwenye siasa zetu za ujamaa na kujitegemea.ooow Chrispin nimesahau... ngoja nta edit posti zangu kwa ajili yako...
Tayari logistics zimashafanyika. We need to do the needful there!hommie..huu utafiti umeshaufanya tayari..? mi nimekuywa slow learner apa
ya wengine kwenye mafaili ya kwako kwenye moyo mweee!!!
Tayari logistics zimashafanyika. We need to do the needful there!
mmhhh there we go again...
anything that make ur day Chrispin.... nta amkia kushoto kila siku kama hivyo ndo unatakaThanks! Leo naona utakuwa umeamkia upande wa kushoto. Umerejea kwenye siasa zetu za ujamaa na kujitegemea.
Hapo ndipo huwa jukwaa hili linanifurahisha..sredi inawataka wanaume tu laikini kina FL1 na wadada wengeine wameisoma kana kwamba inawahusu na si okusoma tu na kujibu pia.Mmh.. jamani kwani nyie wanaume mnoba wadaku hivyo?
hivyo ndanything that make ur day Chrispin.... nta amkia kushoto kila siku kama o unataka
why do I have a feeling that some ppl are stalking me?? its called harassment...Jeeeeeeeeeeeeezzzzzzzzzzzzz