Magulumangu
JF-Expert Member
- Jan 7, 2010
- 3,051
- 462
Mhh tabia ya mtu haijifichi bana!
Hehehe inajificha mama kama mm nimepata demu mlokole na mm najifanya mlokole huku namega nikiwa nae maombi mwanzo mwisho hata pombe naweka pembeni.
Mhh we hulali leo! naona hapo utakuwa unajidanganya mwenyewe na huyo binti atakuwa si mlokole halisi maana hawezi kudhini kabla ya ndoa!
Nilale wakati leo nimerudi mkavu ndo napoteza mda ili kuche mapema.
Huyu binti mlokole juzi aliniomba nipige sala ya kulala nikachemka mm nikapiga za kikatoliki dah nikaambulia patupu ucku mzima uso wa mbuzi.
Hahah haha pole sna mtu mzima ukaumbuka jamni siku nyingine unapiga sala kimoyomoyo haha hahhaπ
Nilale wakati leo nimerudi mkavu ndo napoteza mda ili kuche mapema.
Huyu binti mlokole juzi aliniomba nipige sala ya kulala nikachemka mm nikapiga za kikatoliki dah nikaambulia patupu ucku mzima uso wa mbuzi.
Hehehe inajificha mama kama mm nimepata demu mlokole na mm najifanya mlokole huku namega nikiwa nae maombi mwanzo mwisho hata pombe naweka pembeni.
Umenifanya nicheke mno mpwa; ni kweli wapo wanaojua kuficha tabia zao zisijulikane
Hahahahaha mpwa hii ishu ni ya kweli na imenitokea juzi ijumaa nikanyimwa chakula cha usiku kwa kukosea sala.
Pole sna sipati picha unanjaa na chakula ya usiku halafu unanyimwa hehe hehhe utapiga miayo na kujigeuza kitandani hapo kukucheππππ
Hahahahaha usinikumbushe machungu mbona boxer ililowa chapa chapa ukizingatia sikunywa kabisaaa asije nishtukia hata usingizi kwani nilipata dah maumivu tu nikujigeuza geuza tu huku nakula kwa macho.
Siku nyingine uwe unaoga maji badiri ukinyimwa chakulaπππila sijui kama itasaidiaπ
Hayo yatapooza then hali inajirudia vp mbona leo hujaturusha roho mama weka vitu kwenye jukwaa lako pendwa.