Kwa kina baba na kina kaka

Kwa kina baba na kina kaka

Ncherry1

JF-Expert Member
Joined
Jun 15, 2016
Posts
2,181
Reaction score
2,256
Honestly, Leo nimekwazika sana unapopata ka mchepuko kako uko nje hatuwazuii tunajua polygamy runs in your blood mkapendana akakupa tigo au 0713 na ikatokea ukafulia au mmeachana au whatever the case jamani usiamishie hcho kitu kwa mkeo kama mke wako hajawai kukupa na wewe tangu uanze ile njia ya asili huipendi usimlazimishe mkeo akupe.

Akikataa unaibua migogoro isiyoisha kumbe yote sababu ni akupe tigo tu jamani, rudi kule ulikopewa au katafute kwingine muache mama au dada wa watu na ushamba wake au yeye awe ameridhia kukupa na siyo umlazimishe hadi umpige mbele za watoto watu tujue ugomvi wa kawaida hata kama ana weakness zake kumbe yote hayo chanzo ni kukunyima tigo.

Siyo vyema kabsa kitu kizuri ni kifanyike kwa maridhiano siyo kulazimishana mbna flani alinipa. Nenda sasa akakupe uyo uyo.

Ni hayo tu kwa kweli msitusumbulie dada zetu au mama zetu wakafanya tukaogopa na sisi kuolewa kumbe sababu ni nyie na hiyo hamu yenu ya tigo.
 
Ulichosema ni kweli lkn ni wanaume wachache sana ambao hufikia hatua hiyo uliyoisema ya kupigana,coz hayo mambo huwa matamu baada ya maridhiano ya pande zote mbili
 
Unakosea kusema wanaume.
Mwanaume anaanzaje kujaza ili ajazwe kwa mfano?

Hii tabia ya kutumia mtandao pendwa zaidi ni ya vi~ben ten (wavulana). Wavulana wanapenda sana kujaza ila sio wanaume.
 
Mwambie asimchekee na pia ajue kusimamia msimamo wake. Asijali huo ugomvi na vikizidi atafute watu wenye hekima zao awaelezee nadhani hawatakosa cha kumshauri.

Ila kuna baadhi ya wanaume sijui tuwaweke fungu gani ili watoshee maana. Mmhh

 
Honestly,leo nmekwazika saana unapopata ka mchepuko kako uko nje hatuwazuii tunajua polygamy runs in your blood.. Mkapendana akakupa tigo au 0713 na ikatokea ukafulia au mmeachana au whatever the case jamani usiamishie hcho kitu kwa mkeo kama mke wako hajawai kukupa na ww tangu uanze ile njia ya asili huipend usimlazmishe mkeo akupe akikataa unaibua migogoro isiyo isha kumbe yoote sababu ni akupe tigo tu jamani..rudi kule ulkopewa au katafute kwingne muache mama au dada wa watu na ushamba wake au yeye awe ameridhia kukupa na siyo umradhimishe hadi umpge mbele za watoto watu tujue ugomv wa kawaida hata kama ana weakness zake kumbe yote hayo chanzo ni kukunyima tigo! Siyo vyema kabsa kitu kizur ni kifanyike kwa maridhiano siyo kulazmishana mbna flan alinipa.. Nenda sasa akakupe uyo uyo!
Ni hayo tu kwa kwel msitusumbulie dada zetu au mama zetu wakafanya tukaogopa na sisi kuolewa kumbe sababu ni nyie na hyo hamu yenu ya tigo!
Ncherry 1, asante sana kwa karipio/onyo. Biblia inamtaja mtu anaye *****/fira au anaye lawiti/lawitiwa(1WAKORINTHO 6:9) kuwa ni MBWA(KUMBUKUMBU LA TORATI 23:18). Na Mungu alimpiga marufuku Musa kupokea SADAKA kutoka kwa watu wa namna hiyo. Wewe mwanaJamii Forums ambaye ni MBWA; ninakusihi sana sana, tafuta wokovu, LEO. Yesu Kristo anaweza kukubadilisha ukawa mtu tena. Usiwaze kuwa umekuwa MBWA kwa MIAKA MINGI kiasi gani; ukiamua SASA, Yesu Kristo anaweza kukufanya kuwa mtu TENA kwa DAKIKA 1 TU, LEO LEO.
 
Aisee ! Ngoja watumiaji wa tigo waje kukushambulia .
WAJE TU na mashambulizi yao yaliyoshindwa. HATA MIMI NAWASUBIRI KWA HAMU SANA. Hayana nguvu wala madhara, kwa kuwa giza halijawahi kumeza NURU, tangu kuumbwa kwa ulimwengu hata leo.
 
Wenye tabia hiyo wanajishushia heshma kwa Wake zao.
Ili kutojishushia heshima kwa wake zao maranyingi huenda kwa michepuko,ma wanawake pia wengi hutoa kwa michepuko na mkikutana kila mtu anakua msafi.
 
Inasikitisha sna...

Ni dhambi kubwa sana... na kwa nini kwanza watu wanaendekeza hayo mambo...

Psychologically wanajiharibu, kiafya wanajiharibu.. ni mbaya sana...


cc: mahondaw
 
Ulichosema ni kweli lkn ni wanaume wachache sana ambao hufikia hatua hiyo uliyoisema ya kupigana,coz hayo mambo huwa matamu baada ya maridhiano ya pande zote mbili
Peruu, UMEKOSEA! Ngoja nikwambie kitu. Ufiraji ni pepo. Mgogoro unatokea pale ambapo mume ana huyo pepo na mke hana; au kinyume chake. Wote mkiwa na pepo ndipo mnaona "sawa"(lakini katika hali ya KAWAIDA, bila kuwa driven na demons, huwezi ukakoroga kinyesi na kufurahia, HUWEZI!). Jaribu kuwaza: wewe ni mwanaume rijali; unaukamata uume wako uliosimama sawasawa na kuuchovya kwenye CHOO CHA SHIMO KILICHOJAA na kuanza kukoroga Mavi(WAFILIPI 3:8) huku unasikia raha!!! Ni LAZIMA kichwa kiwe kimeharibiwa KWANZA.
 
Back
Top Bottom