Amani kwenu.
Mdudu huyu (angalia picha) kwa lugha ya kwenu anaitwaje?View attachment 1302023
decomm!
Sahihi kabisa, hata sisi tuliaminishwa hivyoUtotoni tulikua tunaambiwa ukimuua huyo mdudu unapigwa na radi [emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app