Etopito!like that umenikumbusha mbali sanaa!!back to 80'sTopito!!
Boflo Mbona unaishia kuuliza kwa Kiingereza tu - kwa Lugha nyingine je? .... Haya chukua hizi
Kifaransa - lance-pierre
Kijerumani - Schleuder
Kiitaliano - fionda
Kispanish - honda
Kirusi - рогатка
Kikorea - 고무총
Kijapani - パチンコ
Kihindi - गुलेल
Kiswidish - slangbella
Ki-Norsk (Norway) - sprettert
.. vipi Boflo tuendelee na lugha nyingine?!! ... Boflooooooooooooooooo oooooooooooooooooooooooooooo!
Inaitwa etobhito
Inaitwa etobhito
Nadhani CATAPULT ni sahihi zaidi kuliko SLINGSHOT kwasababu CATAPULT ni manati na SLINGSHOT ni kombeo lile ambalo DAUDI alimpiga nalo GOLIATH!Slingshot
Nadhani CATAPULT ni sahihi zaidi kuliko SLINGSHOT kwasababu CATAPULT ni manati na SLINGSHOT ni kombeo lile ambalo DAUDI alimpiga nalo GOLIATH!
Sikusema umebahatisha mkuu,but thanks kwa ufafanuzi.Sikubahatisha. Panua wigo wa msamiati wako wa Kiingereza;
Slingshot: [count] US : a Y-shaped stick with an elastic band attached to it that is used for shooting small stones called also (Brit) catapult.
Hiyo fasili ni kutoka Merriam-Webster na kwa illustration bonyeza hapa.
Na hii ni kutoka Oxford;
Slingshot: (North American English) (British English catapult)
a stick shaped like a Y with a rubber band attached to it, used by children for shooting stones.
Kwa illustration bonyeza hapa.
Hitimisho - manati kwa Kiingereza ni slingshot au catapult. Ila kama hujaridhika sema tu ili niongeze na fasili ya TUKI pia....
Catapult
We wacha umefuata nini huku?Bora wewe umesema wengine ni mipasho tu. Mijitu mizima badala ya kujibu swali yanazunguka kama yanacheza mdundiko, si bora wakacheze na fisadi papa pale Magogoni.
Nadhani hata ukifupisha SLING ni sawa tu....
We wacha umefuata nini huku?