mgt software
JF-Expert Member
- Nov 1, 2010
- 13,767
- 7,115
msamaha wa nin kwani kanya kwenye kikombeJoshua Nassari acha kutuzuga kubali ulimi uliteleza omba msamaha waTanzania.
Joshua Nassari acha kutuzuga kubali ulimi uliteleza omba msamaha waTanzania.
Na huyu una bifu nae....
msamaha wa nin kwani kanya kwenye kikombe
Na huyu una bifu nae....
mungu ni mkubwa.2015.tumeshapata silaha ya maangamizi
Namshangaa kila siku anazunguka zunguka tu!!Joshua Nassari acha kutuzuga kubali ulimi uliteleza omba msamaha waTanzania.
Walionzisha hiyo movement wote wamekamatwa! Na kesi inaendelea. Nasarri by this time ingetakiwa awe rumandeMbona Zanzibar inataka kujitenga na wala hakuna anaekamatwa? au Zanzibar sio sehemu ya Tanzania?