Kwa Kauli ya Manara Je alikuwa sahihi au atupwe rumande ya Michezo?

KakaKiiza

JF-Expert Member
Joined
Feb 16, 2010
Posts
11,902
Reaction score
9,323
Wote tumesikia jinsi Manara alivyomvaa Rais wa TFF Ndugu W.Karia kwa lugha ambazo kimtizamo hazina staha ukilinganisha na alicho kisema Rais wa TFF ukweli kwa sasa kumekuwepo baadhi ya watu wanaleta sanaa katika mpira wa nchi hii!
Hivyo lazima yeye kama kiongozi wa mpira wa nchii lazima akemee kwa msisitizo japo kuna watu waliibeba ile kauli kama amewalenga Yanga African sports Club ila kimtazamo hakuna aliposema kuhusu Yanga!.
Ila kwa maneno ya Haji Manara hayakuwa na staha yakiwa na kejeli dharahu kwa Ndugu Walece Karia ambaye ni Rais wa TFF kibaya zaidi alijaribu kufarakanisha Jina la U-Rais na Rais wa nchi kama vile Karia anajifanya yeye ni Rais wa nchi kitu ambacho siyo kweli! Akaenda mbali kuhusu escort ila hapakuwa mahali pake hata kama alisema miaka ya nyuma!ila Kimsingi Rais wa FIFA ana escort kama shirikisho likiona usalama wa Rais wa TFF una mashaka wanaweza kufanya hivyo maana hadi sasa chuki imekuwa kubwa! Hivyo TFF tazameni uwezekano wa kumuwekea ulinzi Rais wa TFF maana hawa akina Manara ni wengi wanachuki!
 
Hakuna lolote mikwara ya mende kuangusha kabati tuu hiyo
 
Karia anatumia TFF ili kuinufaisha Simba timu yake
Manara yupo sahihii
Yanga waliandika barua kwanini yeye aite viongozi wa Yanga watoto?
Huyo Karia aache dharau hapo TFF wamepita wengi
Asitumie TFF kujinufaisha
 
Mimi ningekuwa Karia hata barua yao nisingeijibu Maana wana utoto na ujinga mwingi
Ubongo umejaa supu
 
Karia anatumia TFF ili kuinufaisha Simba timu yake
Manara yupo sahihii
Yanga waliandika barua kwanini yeye aite viongozi wa Yanga watoto?
Huyo Karia aache dharau hapo TFF wamepita wengi
Asitumie TFF kujinufaisha
Unathibitisha kauli ya MANARA WA SIMBA!
 
Wote tumesikia jinsi Manara alivyomvaa Rais wa TFF Ndugu W.Karia kwa lugha ambazo kimtizamo hazina staha ukilinganisha na alicho kisema Rais wa TFF ukweli kwa sasa kumekuwepo baadhi ya watu wanaleta sanaa katika mpira wa nchi hii!
Hivyo lazima yeye kama kiongozi wa mpira wa nchii lazima akemee kwa msisitizo japo kuna watu waliibeba ile kauli kama amewalenga Yanga African sports Club ila kimtazamo hakuna aliposema kuhusu Yanga!.
Ila kwa maneno ya Haji Manara hayakuwa na staha yakiwa na kejeli dharahu kwa Ndugu Walece Karia ambaye ni Rais wa TFF kibaya zaidi alijaribu kufarakanisha Jina la U-Rais na Rais wa nchi kama vile Karia anajifanya yeye ni Rais wa nchi kitu ambacho siyo kweli! Akaenda mbali kuhusu escort ila hapakuwa mahali pake hata kama alisema miaka ya nyuma!ila Kimsingi Rais wa FIFA ana escort kama shirikisho likiona usalama wa Rais wa TFF una mashaka wanaweza kufanya hivyo maana hadi sasa chuki imekuwa kubwa! Hivyo TFF tazameni uwezekano wa kumuwekea ulinzi Rais wa TFF maana hawa akina Manara ni wengi wanachuki!
Kipaji
 
Back
Top Bottom