Madikiteita wako hivyo! Huu ni udikiteita uliokomaa!Mh Rais nimemsikiliza kwa makini aliposema kama kuna wengine wanataka kuomba ruhusa waseme ruhusa iko wazi!...ukisikiliza kwa makini utaona inamalipizi kwa wale wote aliowateua na wameomba kuachia nafasi zao....kama niubunge anaweza akawakata katika kura za awali wajiangalie wanaweza wasipitishwe kwa mantiki wamemfedhehesha aliyewateua kwani aliwaamini wao wamemuangusha!Na kauri ya mh Rais inamawimbi inaonekana kakasirishwa na hilo...kifupi hata ningekuwa mimi ningechukia!
Tunaposema hakuna chama cha CCM ya wananchama na viongozi wao, mfano mzuri ni huu hapa ulioutoa.Mh Rais nimemsikiliza kwa makini aliposema kama kuna wengine wanataka kuomba ruhusa waseme ruhusa iko wazi!...ukisikiliza kwa makini utaona inamalipizi kwa wale wote aliowateua na wameomba kuachia nafasi zao....kama niubunge anaweza akawakata katika kura za awali
chadema ni Mali ya Mbowe kama saccos akiamua lolote kaamua tuTunaposema hakuna chama cha CCM ya wananchama na viongozi wao, mfano mzuri ni huu hapa ulioutoa.
CCM ni mali ya Magufuli, ataamua chochote anachotaka yeye bila ya uongozi wa chama kushirikishwa kikamilifu.
Kwa nini iwe ni yeye kukasirishwa na kutafuta kulipiza kisasi bila kuwahusisha viongozi wenzake katika maamuzi ya kutafuta wagombea ubunge..
Ni tabia ile ile ya mabavu kila mahali! Uongozi wa hovyo sana.
Wanasahau mfano wa Ludovick Mwananzila. Kuacha nafasi ya kuteuliwa na kwenda kugombea ni kama umeasi tu na kuona aliyekuteua alikoseaMh Rais nimemsikiliza kwa makini aliposema kama kuna wengine wanataka kuomba ruhusa waseme ruhusa iko wazi!...ukisikiliza kwa makini utaona inamalipizi kwa wale wote aliowateua na wameomba kuachia nafasi zao....kama niubunge anaweza akawakata katika kura za awali wajiangalie wanaweza wasipitishwe kwa mantiki wamemfedhehesha aliyewateua kwani aliwaamini wao wamemuangusha!Na kauri ya mh Rais inamawimbi inaonekana kakasirishwa na hilo...kifupi hata ningekuwa mimi ningechukia!
Bashite bwana unaambiwa Magufuli dikteta anayejifanya yupo juu ya kitu chochite meambie awakate na yeye atakatwa tuchadema ni Mali ya Mbowe kama saccos akiamua lolote kaamua tu
Huyu mzee aache upumbavu standing orders za utumishi wa umma ziko wazi, mtu anayetaka kuomba nafasi ya kisiasa huwa anapewa ruhusa ya bila malipo mpaka mchakato utakapoisha. Akipewa ridhaa ya kukiwakilisha chama ndiyo utumishi wake unakomea hapo! Aache unyanyasaji huyuNi wazi Aggrey Mwanri ni mmoja wapo alyeomba ruhusa akatumbuliwa JUU kwa JUU na akichukua form ya Ubunge anakatiliwa MBALI.
nchi hii ni kama jela au ipo chini ya mkoloni.Mh Rais nimemsikiliza kwa makini aliposema kama kuna wengine wanataka kuomba ruhusa waseme ruhusa iko wazi!...ukisikiliza kwa makini utaona inamalipizi kwa wale wote aliowateua na wameomba kuachia nafasi zao....kama niubunge anaweza akawakata katika kura za awali wajiangalie wanaweza wasipitishwe kwa mantiki wamemfedhehesha aliyewateua kwani aliwaamini wao wamemuangusha!Na kauri ya mh Rais inamawimbi inaonekana kakasirishwa na hilo...kifupi hata ningekuwa mimi ningechukia!
sureMagufuli agombee ubunge aje awe KUB uraisi atachezea kichapo kikali sana.
Tatizo ndo hilo Chama amekabidhiwa Magufuli, Serkali amekabidhiwa Magufuli, Nchi pia amekabidhiwa yeye, na Bunge na hata Mahakamà. Mtu mwenye uwezo wa kuyamudu majukumu yote hayo hajazaliwa toka dunia kuumbwa wala hategemewi. Huyu hata moja tu ya majukumu hayo hana uwezo uwezo wa kuyamudu ndo maana anashindwà kilà anachojaribu kufanya.Tunaposema hakuna chama cha CCM ya wananchama na viongozi wao, mfano mzuri ni huu hapa ulioutoa.
CCM ni mali ya Magufuli, ataamua chochote anachotaka yeye bila ya uongozi wa chama kushirikishwa kikamilifu.
Kwa nini iwe ni yeye kukasirishwa na kutafuta kulipiza kisasi bila kuwahusisha viongozi wenzake katika maamuzi ya kutafuta wagombea ubunge..
Ni tabia ile ile ya mabavu kila mahali! Uongozi wa hovyo sana.
Afadhali chadema ni saccos chama kikubwa kama ccm kinakuwa cha mtu mmoja aibuchadema ni Mali ya Mbowe kama saccos akiamua lolote kaamua tu