Kwa 'Kauli' hii ya Kocha mpya wa Yanga SC Mburundi Cedric Kaze tayari barua yake ya Kuachishwa Kazi imechapwa na imetunzwa

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,745
109,190
Sichezeshi wachezaji 11 bora uwanjani nachezesha timu bora uwanjani. Sichezeshi jina wala staa, nachezesha timu ambayo italeta mafanikio na usishangae mchezaji mkubwa akawa anakaa benchi. Tunaangalia timu zaidi” Cedric Kaze'

HabariLeo na Mwanaspoti

Kama kuna Kosa ambalo huyu Kocha Mburundi Cedric Kaze kafanya ni kukubali Kuifundisha Yanga SC kwani inaenda Kumfukuza Siku si nyingi tu.
 
Sio Mburundi ni Mrundi
 
Nauona muendelezo wako tu wa 'Upumbavu' ulionao na 'unaokusumbua' huenda baada ya 'Kurithishwa' kutoka kwa 'waliokutafuta' sana Kitandani.
Narudia tena, haitashangaza kama akifukuzwa.....huo ndio utaratibu....

Mengine hayo unayoleta ni mbwembwe tu.
 
Tunahitaji Ushindi, Tunahitaji kuahinda Taji, hautahiji maneno kama ya Kusuku. Nadhani Cedríc Kaze aambiwe sie ni Waswahili zaidi yake hayo maneno yake yaishie huko Uwanja wa Ndege
Kwa Kauli zake hizi akidumu TU hapo Yanga SC ambako kumejaa Majungu, Umbea, fitina na Visununu vingi Miezi Sita tu Mimi siyo GENTAMYCINE.
 
Tunahitaji Ushindi, Tunahitaji kuahinda Taji, hautahiji maneno kama ya Kusuku. Nadhani Cedríc Kaze aambiwe sie ni Waswahili zaidi yake hayo maneno yake yaishie huko Uwanja wa Ndege
Kwahiyo ulitaka alivyopewa nafasi ya kuongea, angekaa kimya pasipo kuongea chochote?
Alichokiongea kina kasoro gani au ndio unadhihirisha jinsi washabiki wa Yanga pamoja na viongozi wao walivyo waswahili?
Kocha kaongea maneno ya kimpira na kiufundi wewe lakini bado uelewi.

Alichokimaanisha ni hivi mfano; hata Kama kalinyo ni mchezaji mwenye jina kubwa lakini anazidiwa kiwango na mchezaji asiyekuwa na jina basi yeye kocha atampaga huyo mchezaji asiyekuwa na jina ilimladi kutengeneza ushindi na mafanikio kwa Yanga. Au wewe unataka kwavile Sarpong anajina kubwa basi hata akiwa na kiwango kidogo kuliko Wazir Junior, basi Sarpong apangwege tu kutokana na ustar au jina kubwa alilokuwa nayo?

Na nyie ndio mashabiki unaokaa kulalamika miaka yote kuwa Simba inabebwa inabebwa wakati tatizo la Yanga linaanzia kwa nyie washabiki mkiongozwa na viongozi. Wote ni waswahili wasiopenda kuambiwa ukweli, kazi kuingilia majukumu ya kocha.

Badilisheni Sana makocha siku mkija kuzinduka mtakuwa mmechelewa Sana, timu ya kupata mafanikio inaandaliwa kwa muda sio ghafla bin vuu Kama vile imeshuahwa mbinguni. Kama bado mna ndoto ya kuona huyu kocha atafanya miujiza ya ghafla basi pole.
 
Sijui lini yanga itatengeneza timu yenye muunganiko,walikaa bila kocha wakasajili wachezaji bila kocha kushirikishwa,hajakaa miezi miwili katimuliwa ,huyu kaja anakuja tena upya na mfumo wake hadi wachezaji wauzoee karibia nusu msimu wakati wenzao Azam na simba wako kwenye form tayari
 
Kocha kaongea vema sana.... Muhimu ni kuangalia ushindi wa timu na msaada wa mchezaji husika kwenye timu na sio kuangalia jina la mtu..
 
Back
Top Bottom