KWA KATIBU WA WIZARA YA UCHUKUZI;DK WEWE N JEMBEE

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
56,667
30,584
HII WIZARA IMEKUWA WIZARA YA DILU KILA MWAKA WATU WWNQCHAGULIWA NA KUPIGA

SIHIOO TU WENGINE WAMEDIRIKI KUWEKA WAJOMBA ZAO PALE WIZARAN KULINDA WIZI WAO

NIKUKUMBUSHE MH RAIS BAADHI YA MAWAZIRI WIZARAA WAMEKUWA WAKIKIMBILIA KUFANYA UTEUZI WA HARAKA KWENYE MASHIRIKA YALIO CHINI YA WIZARA HII NA KUWEKA WAHUNI WAO KAMA WAKURUGENZI nk.GAFLA UNASIKIA WAMEBADILISHA MTU NA KUWEKA WAO

WIZARA HII IMEKUWA YA KIDINI NA KIKABILA PINDI WWZIRI HUSIKA ANAPOCHAGULIWA

TUNAKUOMBA UISIMAMIE NAKUPONGEZA KWA JEMBE LETU DK CHAMURIO WA UDSM AKA COET MNAKIFAHAMU VYEMA KICHWA HIKI

NAWATAKIA UFANISI MEMA ULIOTUKUKA

WAZO LA 2016

"""MSITUANGUSHE"""
 
Back
Top Bottom