Kwa kasi hii ya Magufuli, Upinzani unakuwa kama ndo unaanza!

KakaKiiza

JF-Expert Member
Feb 16, 2010
11,584
8,611
Kwa kasi hii ya Rais JPM inaweza ikaharibu upinzani katika hii nchi ni leo baada ya kushuhudia leo vijana kariakoo wakiwa wamepagawa!na Waziri mkuu,pia nilipokuwa Ferry vijana uvumilivu uliwashinda nakusema mafisadi watafute pakwenda!Na ujanja alioutumia JPM nikufanya yale wapinzani wamekuwa wakiyasema siku zote!Hivyo kuwa M4C kunaanza kudhoofisha upinzani hivyo kunatakiwa kuwepo na mbinu mbadala ya kushindana na hii kasi ya JPM. Leo wale vijana wa Kariakoo ni wale waliokuwa wakizomea mtu yeyote anayevaa nguo za CCM. Leo ndo wamekuwa washabiki wa CCM!
 
KakaKiiza trust me Magu sio CCM....Magu ni UKAWA damu...time will tell... Wee subiri
Na hao vijana uliowaona wapo kwenye kila tukio simba wako yanga wako mdundiko kigodoro taifa stars diamond kuitia mwizi popote wapo
 
Last edited by a moderator:
Kwa kasi hii ya Rais JPM inaweza ikaharibu upinzani katika hii nchi ni leo baada ya kushuhudia leo vijana kariakoo wakiwa wamepagawa!na Waziri mkuu,pia nilipokuwa Ferry vijana uvumilivu uliwashinda nakusema mafisadi watafute pakwenda!Na ujanja alioutumia JPM nikufanya yale wapinzani wamekuwa wakiyasema siku zote!Hivyo kuwa M4C kunaanza kudhoofisha upinzani hivyo kunatakiwa kuwepo na mbinu mbadala ya kushindana na hii kasi ya JPM. Leo wale vijana wa Kariakoo ni wale waliokuwa wakizomea mtu yeyote anayevaa nguo za CCM. Leo ndo wamekuwa washabiki wa CCM!

Sikuona mtu yoyote anaye ishangilia CCM ila JPM
 
KakaKiiza trust me Magu sio ccm....Magu ni UKAWA damu...time will tell... Wee subiri
Na hao vijana uliowaona wapo kwenye kila tukio simba wako yanga wako mdundiko kigodoro taifa stars diamond kuitia mwizi popote wapo
Maskini, hauna hata hoja! Dah, Magu nuksi.
 
Last edited by a moderator:
Kwa kasi hii ya Rais JPM inaweza ikaharibu upinzani katika hii nchi ni leo baada ya kushuhudia leo vijana kariakoo wakiwa wamepagawa!na Waziri mkuu,pia nilipokuwa Ferry vijana uvumilivu uliwashinda nakusema mafisadi watafute pakwenda!Na ujanja alioutumia JPM nikufanya yale wapinzani wamekuwa wakiyasema siku zote!Hivyo kuwa M4C kunaanza kudhoofisha upinzani hivyo kunatakiwa kuwepo na mbinu mbadala ya kushindana na hii kasi ya JPM. Leo wale vijana wa Kariakoo ni wale waliokuwa wakizomea mtu yeyote anayevaa nguo za CCM. Leo ndo wamekuwa washabiki wa CCM!

si kwamba wamekuwa washabiki wa ccm bali ni washabiki wa magufuli. Naomba utofautishe hayo. Na pia naona wewe kama upinzani ukifa utashangilia sana wakati wao ndo wamesababisha magufuli kuteuliwa na ccm na pia magufuli anatekeleza Yale yote waliyokuwa wakiyapigia kelele. Au wewe hufurahii yanayofanyika sasa hivi .. shame on you !!
 
Nimefanya usafi lakini pure mpinzani

Na sio kila kitu tunapinga..........vyenye maana lazima tushiriki..........huku tukitaka kujua......waliopewa tenda za kufanya huo usafi.......kazi yao itakuwa nini.......?.......
 
Kwa kasi hii ya Rais JPM inaweza ikaharibu upinzani katika hii nchi ni leo baada ya kushuhudia leo vijana kariakoo wakiwa wamepagawa!na Waziri mkuu,pia nilipokuwa Ferry vijana uvumilivu uliwashinda nakusema mafisadi watafute pakwenda!Na ujanja alioutumia JPM nikufanya yale wapinzani wamekuwa wakiyasema siku zote!Hivyo kuwa M4C kunaanza kudhoofisha upinzani hivyo kunatakiwa kuwepo na mbinu mbadala ya kushindana na hii kasi ya JPM. Leo wale vijana wa Kariakoo ni wale waliokuwa wakizomea mtu yeyote anayevaa nguo za CCM. Leo ndo wamekuwa washabiki wa CCM!

Ukiwa huna cha kupost kaa kimya. hii ni takataka.
Wale vijana hawashabikii ccm bali mtu mmoja yaani ni Magufuli na Majaliwa. Mbona mbeya wamefanya usafi na wala hawakushangilia hizo taka zako.
 
Mi naona ssi watz ni wepesi wa kusahau na ni watu tusio na mawaz binafsi bali tegemez, ni wakuyuyumba tusiojua tunatak nn..chips kavu 1500,maji nayo juu na bado
 
Spot on!
Unanikumbusha gia ya angani. Watu walipigwa U-Turn ubongoni!
 
Back
Top Bottom