Umepata binti wa kibongo mkawa kwenye urafiki yeye ameajiliwa mjini amepanga chumba ndugu zake wanakaa mwanza na ameishakwambia kule kuna shangazi tu na baadhi yandugu lakini uwezo wao kimaisha ni duni! kabla ya miezi 6 mpenzi wako anaumwa unajitusu kumpeleka hospital unaambiwa amefeli figo hivyo inatakiwa figo je wewe mpenzi wake uko tayari kutoa figo ubaki na moja??maisha haya ya kibongo??Na ujuavyo hawa mabinti??
hii thread unawauliza wanaume tu au?
Mmmmmh hii figo yng ni bi mkubwa ndo atapewa wengine waniwie radhi....!
vipi yamekusibu kaka?
Kwani hadithi zote za vitabu zinawahusu watunzi??vipi yamekusibu kaka?
Kwa maana wewe huyo mpenzi uliyenaye ni urafiki wa sungura na simba??wamashaka??Mmmmmh hii figo yng ni bi mkubwa ndo atapewa wengine waniwie radhi....!
Ke anapataga binti??hii thread unawauliza wanaume tu au?
Na wewe mkuu inamaana unamuacha mpenzi wako afe si ndiyo maanake???!!!Hapo umenena chief,mapenzi yenyewe haya ya tamthilia na kichina,,,!!!!!?? Huyo mwnamke anisahau...teh teh teh teh
Haya ni mawazo huru haya husiani na tukio lolote jibu kutokana na ulivyo elewa usijibu kutokana na unavyojisikia!!Inawezekana kweli yamemkuta, so anajiuliza itakuwaje akikubali kutoa figo
kwakweli kabisa roho nyeupe................SIWEZI TOA(am sorry uliyepaona hapa)
umepata binti wa kibongo mkawa kwenye urafiki yeye ameajiliwa mjini amepanga chumba ndugu zake wanakaa mwanza na ameishakwambia kule kuna shangazi tu na baadhi yandugu lakini uwezo wao kimaisha ni duni! Kabla ya miezi 6 mpenzi wako anaumwa unajitusu kumpeleka hospital unaambiwa amefeli figo hivyo inatakiwa figo je wewe mpenzi wake uko tayari kutoa figo ubaki na moja??maisha haya ya kibongo??na ujuavyo hawa mabinti??