KakaKiiza
JF-Expert Member
- Feb 16, 2010
- 11,578
- 8,600
Umepata binti wa kibongo mkawa kwenye urafiki yeye ameajiliwa mjini amepanga chumba ndugu zake wanakaa mwanza na ameishakwambia kule kuna shangazi tu na baadhi yandugu lakini uwezo wao kimaisha ni duni! kabla ya miezi 6 mpenzi wako anaumwa unajitusu kumpeleka hospital unaambiwa amefeli figo hivyo inatakiwa figo je wewe mpenzi wake uko tayari kutoa figo ubaki na moja??maisha haya ya kibongo??Na ujuavyo hawa mabinti??