Kwa jinsi ujuavyo mabinti wa kibongo!

KakaKiiza

JF-Expert Member
Feb 16, 2010
11,555
8,552
Umepata binti wa kibongo mkawa kwenye urafiki yeye ameajiliwa mjini amepanga chumba ndugu zake wanakaa mwanza na ameishakwambia kule kuna shangazi tu na baadhi yandugu lakini uwezo wao kimaisha ni duni! kabla ya miezi 6 mpenzi wako anaumwa unajitusu kumpeleka hospital unaambiwa amefeli figo hivyo inatakiwa figo je wewe mpenzi wake uko tayari kutoa figo ubaki na moja??maisha haya ya kibongo??Na ujuavyo hawa mabinti??
 
jaribu uone we una uhakika gani kama atakuwa wako bado unajua ukitoa figo inabidi na kazi usifanye labda zile nyepesi utalia machozi ya damu hawatabiriki hao
 
vipi yamekusibu kaka?
Kwani hadithi zote za vitabu zinawahusu watunzi??

Mmmmmh hii figo yng ni bi mkubwa ndo atapewa wengine waniwie radhi....!
Kwa maana wewe huyo mpenzi uliyenaye ni urafiki wa sungura na simba??wamashaka??

hii thread unawauliza wanaume tu au?
Ke anapataga binti??

Hapo umenena chief,mapenzi yenyewe haya ya tamthilia na kichina,,,!!!!!?? Huyo mwnamke anisahau...teh teh teh teh
Na wewe mkuu inamaana unamuacha mpenzi wako afe si ndiyo maanake???!!!

Inawezekana kweli yamemkuta, so anajiuliza itakuwaje akikubali kutoa figo
Haya ni mawazo huru haya husiani na tukio lolote jibu kutokana na ulivyo elewa usijibu kutokana na unavyojisikia!!
 
hapo inategemea na wote wawili kulingana na uhusiano wenu.unaweza ukampenda sana binti na kujitolea figo yako.mwisho wa siku akaja akakugeuka na kukumwaga.au inawezekana huyo mdada anakupenda kwel lakin kutokana na dhana kwamba wanawake wengi ni wasalit.lazima mkaka aingie na waswas wa kujitolea.hivyo ushauli wangu KAMA KWELI UNAMPENDA UTAMLINDA...itakuwaje umwache huyo alafu upate mwengine akupe UKIMWI.hi ni dunia hujui mwenye mapenzi ya kwel ni nan.jalibu kufanya kitu ambacho hata huyo mdada akija kukusaliti nafsi yake ijekumsuta.na atabaki anakukumbuka na kujutia maisha yake yote...mtazamo tu..
 
  • Thanks
Reactions: LD
mpeleke bangladesh ni pm kuna hospal wana figo kabisa.sio lazima utolewe figo
 
kwakweli kabisa roho nyeupe................SIWEZI TOA(am sorry uliyepaona hapa)
 
wewe unayesema huwezi kutoa.hebu fikilia wewe ndo ungekuwa unaumwa alafu yeye / mpenzi wako akakutolea bila kushinikizwa na mtu ungejisikiaje??
 
Kwani hawapo ndugu zake mpaka utoe wewe,???
Mim kwa mtu nilienae kwa mambo aliyonifanyia kanitoa mbali mpaka leo nipo nae ni kama baba yangu aisee maana kamzidi baba yangu kwa kunijali
Naweza kumtoleaa kabisa hata kama akinisaliti maana nakua kama nimelipa fadhila
Lakin hawa wa kukutana kimjini mjini siwez kama ndugu zake hawana figo afe tu bwanaa
 
Umeamua kufunguka best vipi umepitiwa au yamekusibu nini tena jamani?
umepata binti wa kibongo mkawa kwenye urafiki yeye ameajiliwa mjini amepanga chumba ndugu zake wanakaa mwanza na ameishakwambia kule kuna shangazi tu na baadhi yandugu lakini uwezo wao kimaisha ni duni! Kabla ya miezi 6 mpenzi wako anaumwa unajitusu kumpeleka hospital unaambiwa amefeli figo hivyo inatakiwa figo je wewe mpenzi wake uko tayari kutoa figo ubaki na moja??maisha haya ya kibongo??na ujuavyo hawa mabinti??
 
Mhm! Wewe una hamu ya kusaidia msaidie bhana si ni rafikiyo wa moyoni kila heri ila kuwa makini maana huwaga hawatabiriki
umepata binti wa kibongo mkawa kwenye urafiki yeye ameajiliwa mjini amepanga chumba ndugu zake wanakaa mwanza na ameishakwambia kule kuna shangazi tu na baadhi yandugu lakini uwezo wao kimaisha ni duni! Kabla ya miezi 6 mpenzi wako anaumwa unajitusu kumpeleka hospital unaambiwa amefeli figo hivyo inatakiwa figo je wewe mpenzi wake uko tayari kutoa figo ubaki na moja??maisha haya ya kibongo??na ujuavyo hawa mabinti??
 
Hayo mapenzi hamna siku hizi..yalikuwepo enzi ya gazeti la sani
 
Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom