masai dada
JF-Expert Member
- Dec 29, 2013
- 16,802
- 16,829
Na usipofika utaugua kisukari nakwambia
Hahaaaaaaa....asante masai dada ndoa kweli tamu tuliomo ndo tunaujua utamu
ndoa tamu bwana nani na umri wako huo anaeza akakuogesha wewe???HAUMWI WALA NINI ZAIDI YA MKEO
shundwa nasubiri mzunguko wa ligi uishe niolewe
Hahahahaha
ndoa tamua kama niji
nina mshaara wangu lakini mume wangu ndo ananunua kila kitu
ndoa tamu sana asikwambia mtu
Who is sajo?
Sawa lakini kumbuka muoaji ndo mwenye maamuzi...
Who is sajo?
Jiwe limerushwa gizani
Who is sajo?
Mwanaume mmbea alikuwa ana mpa umbea mume wa mtu sasa wife kajua ndo kamwandalia keki chezeiya
Hee! kumbe na wewe mpo pamoja na <!-- google_ad_section_start(weight=ignore) -->masai dada<!-- google_ad_section_end -->Mwanaume mmbea alikuwa ana mpa umbea mume wa mtu sasa wife kajua ndo kamwandalia keki chezeiya
hahahahahah ndoa acha iitwe ndoa
hahaahaa Mpwa nilijua lazima upite hapa
niombee na mimi niolewe my