Kwa internet hii ya Tigo, nalazimika kubadili line, wadau naombeni muongozo

Mkuu tpaul si vizuri kusakamana juu ya hili suala kiongozi hili ni JUKWAA HURU mkuu na ndio mana kila mmoja ana mawazo yake vile aonavyo mkuu na mtu huweza kusema chochote/lolote kwa vile mawazo yake yalivyo kiongozi. Mbona Chief-Mkwawa alishanijibu vyema tu mkuu na akanipa bundles zao na akaweka na link pia ya jinsi gani kuweza kujiunga na bundles za internet kwa mtandao aliouweka hapa jamvini kiongozi.

Sisi wote ni wamoja jamani na tupo hapa katika kusaidiana na kuelekezana kwa yale tusiyoyajua jamani tuweke pembeni tofauti zetu na tumshinde shetani wakuu.

Mkuu Chief-Mkwawa yaishe haya mambo kiongozi coz tunajua una mchango mkubwa mno kwa hili jukwaa kiongozi, hivyo tunaheshimu mawazo yako na tunathamini mchango wako pia mkuu, tusameheane kwa yote tu wakuu.

HESHIMA KWENU WAKUU. THANKS.

mkuu, mbona maelezo yako hayajibu dukuduku ya mdau unayemjibu? kwani yeye kakuambia anahitaji uniformity ya kila huduma katika kila eneo? ulivyojibu hv mtu atadhani una maslahi na tigo kumabe mshika pembe tu!

wewe ndio unadandia reply, muanzisha mada nimemjibu Kwengine na hicho ulichoni quote nimemjibu mwengine.

tuache kulalamika, badala ya kutafuta solution ya vitu sisi tunalalamika tu. hebu jifkirie wewe matusi yote uloandika juu umemsaidia nini muanzisha mada?
 
Last edited by a moderator:
Mm nina laini zote kasoro zantel nilitupa coz huku gongolamboto walikuwa hawana 3g kesho nitasajili zantel nione kama wameboresha 3G yao dar nzima

Very Good. Nafkiri wapo vizuri hawa jamaa Zantel.
 
halotel ni balaa. hata nikiwa pangoni mtandao uko fasta tu

Mi nadhani tunapozungumzia suala la huduma si tu speed mkuu.

Tunaongelea upatikanaji wa huduma husika ikiwemo vocha zinapatikana vipi, bei ya vifurushi vya mtandao husika zikoje, na hata vifurushi husika vikoje nikimaanisha vina ujazo gani ukilinganisha na huduma nyingine mkuu na wala sio tu speed peke yake kiongozi.
 
Zantel ukiunga kifurushi cha 2000 unapewa 3gb 24hrs pia unaingia moja kwamoja kwenye night unlimited

Ooh okay, sikuwa nikilijuwa hilo kiongozi kwa hiyo 3GB / 24hrs na unlimited juu kwa usiku.

Hii imekaa vyema kabisa aisee hawa jama mi nimewapitisha kuwa kwa matumizi ya internet nadhani ndio the best kwangu mkuu.

Safi kabisa aisee.
 
Hawa halotel wana speed ila vifurush hakuna kitu, wana vifurushi vibovu sana.

Ila kwasababu maeneo mengi wao ndio wameweka 3g inalazimu kutumia ivo ivo, unachowezakufanya kama ni ku download fasta kwa muda mfupi, unanunua kifurushi cha siku cha tsh 1000/= mb 800 unaunga hata mara tatu, bila shaka utapata mb 2400 au 2.4GB hapo unaanza kushusha vitu.
 
Hivi mkuu ukiunganisha vifurushi halotel kinapga kazi as kifurushi kimoja mrejesho tafadhali
 
mm npo tabata lakini sina tofauti na mtu kishumundu kwenye shwala la Netwrk Last week nimeamuwa kuama TIGo
 
Yes, hata uunganishe 10, juzi niliunga vi 5, nikashusha movie na window 10

gwud m mwenyw nlkua nawaza kununua mpango mzma ila nikawa natafta njia coz nilipo sijui signal za halotel wamezitia kachumbari nadownload hadi 1.6 mb kwa sekunde sema tu kifurush cha unlimited kinaisha hata baada ya dakika 40 after kuunga
 
Hawa halotel wana speed ila vifurush hakuna kitu, wana vifurushi vibovu sana.

Ila kwasababu maeneo mengi wao ndio wameweka 3g inalazimu kutumia ivo ivo, unachowezakufanya kama ni ku download fasta kwa muda mfupi, unanunua kifurushi cha siku cha tsh 1000/= mb 800 unaunga hata mara tatu, bila shaka utapata mb 2400 au 2.4GB hapo unaanza kushusha vitu.

Zantel kwa Tsh 1000 ni 1.5 GB mkuu, kwa hiyo kama utalipa hiyo 3000 unapata 4.5 GB.

KEEP TALKING.
 
mm npo tabata lakini sina tofauti na mtu kishumundu kwenye shwala la Netwrk Last week nimeamuwa kuama TIGo

Safi kabisa mkuu.

Naskia furaha na faraja mno nikiskia mtu amewahama hawa jamaa coz walinikera mno mara ya mwisho aisee.

Safi sana kiongozi.
 
Back
Top Bottom