Kwa imani yako!

Kwa imani yako!

kiuhalisia yaan sisi waswahili tuna tabia moja, dharau katika mambo ambayo yako active. Fikiria kwamba hili tatizo lingemkuta mdogo wako then mko watatu baina yako, yeye na mama na wote hamjiwezi kumudu hii hali halafu mnapokea majibu kama hayo, hv utahisi vipi katika nafsi yako? Mungu hakutuumba kwaajili ya kukashifiana na kupeana manenomakali bali ni kwa kupendana na kusaidiana. Pole micka.
 
Ahsante
 
Wabeba boksi hamna hela ya bia nyie. Hebu save vijisenti uje na toys kama Kiranga. Bongo bata jumatatu hadi jumatatu lol
Ha ha ha haaa mkuu bwana wewe aaaagr unajimix, yani unajitekenya then unacheka mwenyewe!! Basi nikutakie kazi njema bana ila karibu beer
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom