Joanah
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 26,721
- 98,888
Sijakuelewa!!!
Yaani unamtext hajibu...Bado tu unaendelea kumtext!???
Kweli wanaume tumeumbwa mateso!!!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Mleta mada alielewa
Sijakuelewa!!!
Yaani unamtext hajibu...Bado tu unaendelea kumtext!???
Kweli wanaume tumeumbwa mateso!!!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Habari wakuu..
Huyu mdada ninatoka nae yupo hivi
1.. Wakuu huyu my Queens aisee ninaonyesha kila aina ya kumjali Ila shida haonyeshi hali yoyote ya kujali kujali
Japo pindi ninapoamua kuwa mbali uonyesha hali ya kuniitaji sana sana.. Pia ni mtu ambaye hapendi kuambiwa ukweli na hapendi kushuka pia..
Wakuu huyu dada mdada nampenda sana aisee Ila hiyo ndo shida ake
Sent using Jamii Forums mobile app
Niliomba unieleweshe mimi Binafsi!!!.Mleta mada alielewa
Niliomba unieleweshe mimi Binafsi!!!.
Nilihitaji kufahamu pia....nasisitiza lilikuwa ombi langu mimi binafsi...
Namalizia na shukrani kwa kila jibu utakalonijibu nami sina budi kulikubali
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaha,aseeHapo kuna namna moja hivi ya kugundua kama anakuhitaji ama unampotezea muda....anza kushow zero interests
Ukiamka asubuhi mtext ajibu ama asijibu wewe kaa kimya,zoezi liendelee kwa kama week hivi
Ukiona hakuulizi nini tatizo ujue hupendwi hapo so jiongeze ujitoe,ukiona kaanza kurudi rudi ujue anakuhitaji so vimba vimba kidogo halafu uanze kurudi na wewe
Hahahaha
Asante hapa nimekuelewa vyema kabisa..Nilimaanisha akiamka kesho amtext huyo mpenzi wake asiyejali,ikitokea akajibu ama hata asimjibu huyu mleta mada asimtext tena kama week hivi...yani akae kimya amsikilizie mdada kama atamuuliza chochote juu ya ukimya wake
Kama hujaelewa niambie nikupigie nikueleweshe manake sometimes kuelewa kwa maandishi ni ngumu