Kwa Huyu mdada ni mpendae... Ila hata simuelewi

nashukuru mzima

JF-Expert Member
Jul 11, 2017
1,014
1,896
Habari wakuu..

Huyu mdada ninatoka nae yupo hivi

1.. Wakuu huyu my Queens aisee ninaonyesha kila aina ya kumjali Ila shida haonyeshi hali yoyote ya kujali kujali

Japo pindi ninapoamua kuwa mbali uonyesha hali ya kuniitaji sana sana.. Pia ni mtu ambaye hapendi kuambiwa ukweli na hapendi kushuka pia..

Wakuu huyu dada mdada nampenda sana aisee Ila hiyo ndo shida ake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapo kuna namna moja hivi ya kugundua kama anakuhitaji ama unampotezea muda....anza kushow zero interests

Ukiamka asubuhi mtext ajibu ama asijibu wewe kaa kimya,zoezi liendelee kwa kama week hivi

Ukiona hakuulizi nini tatizo ujue hupendwi hapo so jiongeze ujitoe,ukiona kaanza kurudi rudi ujue anakuhitaji so vimba vimba kidogo halafu uanze kurudi na wewe
 
Sometime huwezi mtengeneza mtu vile utakavyo ila atakuwa vile alivyo na wewe unatakiwa umchukulie vile alivyo na upungufu wake!!
Sababu ulizompendea ni kubwa zaidi ya kile anachokionyesha..?
Kama jibu ni ndio Basi anakustahiri ila Kama sio jua sio!!

Kikubwa popote atakaposimamia mtu anatakiwa afanye maamuzi sahihi kwa wakati sahihi!,hataki kujishusha je,huko kutojishusha kuna linalotoka lamaana..?
Hilo ndio swali la msingi, angalia Sana njia upitayo kuwa ni sahihi au sio this is what matter in life USAHIHI
 
Daa nimekupata mzazi Ngoja nitumie hii mbinu ya kiintelejensia

Nimeupenda sana huu ujumbe aisee very fact

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndugu. Soma alama za nyakati. Uko usipopendwa.
Kwann umlazimishe akupende? Jiongeze..
Halaf mtoto wa kiume ni kiongozi kwenye mahusiano. sio demu ana kuchukulia powa na ww uko kimya.
Habari wakuu..

Huyu mdada ninatoka nae yupo hivi

1.. Wakuu huyu my Queens aisee ninaonyesha kila aina ya kumjali Ila shida haonyeshi hali yoyote ya kujali kujali

Japo pindi ninapoamua kuwa mbali uonyesha hali ya kuniitaji sana sana.. Pia ni mtu ambaye hapendi kuambiwa ukweli na hapendi kushuka pia..

Wakuu huyu dada mdada nampenda sana aisee Ila hiyo ndo shida ake

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari wakuu..

Huyu mdada ninatoka nae yupo hivi

1.. Wakuu huyu my Queens aisee ninaonyesha kila aina ya kumjali Ila shida haonyeshi hali yoyote ya kujali kujali

Japo pindi ninapoamua kuwa mbali uonyesha hali ya kuniitaji sana sana.. Pia ni mtu ambaye hapendi kuambiwa ukweli na hapendi kushuka pia..

Wakuu huyu dada mdada nampenda sana aisee Ila hiyo ndo shida ake

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu kma mahusian yk na yng yna fnan ila wang nahiz kazid.Mana yy anapendlea 2chat
Mamb mengne yto ana sema ypo biz

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu ule usemi wa ishi nao kwa akili naona kwako ndio muda muafaka now kuutumia...

hakikisha moyo na akili haviachani
 
Hapo kuna namna moja hivi ya kugundua kama anakuhitaji ama unampotezea muda....anza kushow zero interests

Ukiamka asubuhi mtext ajibu ama asijibu wewe kaa kimya,zoezi liendelee kwa kama week hivi

Ukiona hakuulizi nini tatizo ujue hupendwi hapo so jiongeze ujitoe,ukiona kaanza kurudi rudi ujue anakuhitaji so vimba vimba kidogo halafu uanze kurudi na wewe
Sijakuelewa!!!

Yaani unamtext hajibu...Bado tu unaendelea kumtext!???

Kweli wanaume tumeumbwa mateso!!!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom