Kwa hukumu hii maana yake msajili ana mamlaka ya kumtambua Dkt. Slaa kama Katibu Mkuu wa CHADEMA hata kama chama hakimtambui

mumburya

JF-Expert Member
Mar 19, 2012
321
448
Wengi wamejikita katika kitendo cha Maalim au CUF Taasisi kujiunga na ACT - Wazalendo na kusahau hukumu ya ajabu katika historia ya Tanzania. Ni kwamba, Jaji kasema kwa vile Msajili ana madaraka hata ya kukifuta chama, basi madaraka ya kuamua mambo ya ndani ya vyama anayo na kwa maana hiyo hiyo alikuwa sahihi kumtambua Lipumba hata kama chama kilishamfuta uanachama.

Kwa amaana hiyo, msajili anayo mamlaka ya kumtambua Dk. Slaa kama Katibu Mkuu wa CHADEMA.
 
Acha kupotosha. Wakati cuf inadai kumfuta uanachama lipumba alishafuta barua yake ya kujiuzulu kabla barua hio haijashughulikiwa kwa mujibu wa katiba ya cuf. Kwa hivyo yeye bado alikua mwenyekiti halali wa cuf. Kwa hivyo hakuna kikao halali kingeweza kuitishwa kumfuta uanachama mwenyekiti bila yeye kushirikishwa.
Hapo inatembea sheria tu ujuaji wa kipemba sio kitu.
 
W

Ila alivyokimbia wakat ule ilikuwa sawa?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mpaka sasa anatambua ccm wamepita wenyeviti wanne na wa sasa ni watano ila kuna chama kina mwenyekiti wa maisha
 
Mjinga hufikiri kila mtu ni mjinga, mpumbavu vile vile hufikiri watu wote ni wapumbavu, ni maskini tu anafikiri wengine wote ni matajiri
 
Wengi wamejikita katika kitendo cha Maalim au CUF Taasisi kujiunga na ACT - Wazalendo na kusahau hukumu ya ajabu katika historia ya Tanzania. Ni kwamba, Jaji kasema kwa vile Msajili ana madaraka hata ya kukifuta chama, basi madaraka ya kuamua mambo ya ndani ya vyama anayo na kwa maana hiyo hiyo alikuwa sahihi kumtambua Lipumba hata kama chama kilishamfuta uanachama.

Kwa amaana hiyo, msajili anayo mamlaka ya kumtambua Dk. Slaa kama Katibu Mkuu wa CHADEMA.
Watapeleka mswada mwingine wa sheria baada ya kujua mnajua jajanja yao
 
Wengi wamejikita katika kitendo cha Maalim au CUF Taasisi kujiunga na ACT - Wazalendo na kusahau hukumu ya ajabu katika historia ya Tanzania. Ni kwamba, Jaji kasema kwa vile Msajili ana madaraka hata ya kukifuta chama, basi madaraka ya kuamua mambo ya ndani ya vyama anayo na kwa maana hiyo hiyo alikuwa sahihi kumtambua Lipumba hata kama chama kilishamfuta uanachama.

Kwa amaana hiyo, msajili anayo mamlaka ya kumtambua Dk. Slaa kama Katibu Mkuu wa CHADEMA.
Vipi Kinana?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wengi wamejikita katika kitendo cha Maalim au CUF Taasisi kujiunga na ACT - Wazalendo na kusahau hukumu ya ajabu katika historia ya Tanzania. Ni kwamba, Jaji kasema kwa vile Msajili ana madaraka hata ya kukifuta chama, basi madaraka ya kuamua mambo ya ndani ya vyama anayo na kwa maana hiyo hiyo alikuwa sahihi kumtambua Lipumba hata kama chama kilishamfuta uanachama. Kwa amaana hiyo, msajili anayo mamlaka ya kumtambua Dk. Slaa kama Katibu Mkuu wa CHADEMA.
.
Tuwekee hukumu hiyo tupata msingi wa kujadilia.
 
Wengi wamejikita katika kitendo cha Maalim au CUF Taasisi kujiunga na ACT - Wazalendo na kusahau hukumu ya ajabu katika historia ya Tanzania. Ni kwamba, Jaji kasema kwa vile Msajili ana madaraka hata ya kukifuta chama, basi madaraka ya kuamua mambo ya ndani ya vyama anayo na kwa maana hiyo hiyo alikuwa sahihi kumtambua Lipumba hata kama chama kilishamfuta uanachama.

Kwa amaana hiyo, msajili anayo mamlaka ya kumtambua Dk. Slaa kama Katibu Mkuu wa CHADEMA.
Jamani ukweli ni kwamba CUF haikumfuta Lipumba wala kuthibitisha kujiuzulu kwake.
Hilo ndiyo kosa la kiufundi alilofanya katibu wa CUF kutopeleka uamuzi huo wa profesa kwenye vikao husika na kuthibitishwa kama ilivyo kwenye katiba yao wenyewe.
 
Hili ni jambo kubwa sana ila kwa watu wasiyojua maana ya Uongozi wa nchi wanaona ni siasa tu. Mwalimu aliwahi kusema nchi haiwezi kuendeshwa kwa ujanjaujanja! Hata kama hukumu hii imetolewa na Jaji bado ni hukumu ya ajabu sana. Swali ni je, kama mahakama kuu inaweza kufanya hivi tunawezaje kutarajia vyombo vya haki vya ngazi za chini kutenda haki kwa wanyonge? Vigumu! Kwa kifupi tumeshenzika vibaya sana. Bye bye haki; karibu dhuluma. Ninayo mashauri mahakamani na sitarajii haki itendeke kwa sababu wakati mimi nimekaa kusubiri hiyo haki itendeke upande wa pill unahangaika kupoteza haki na zipo ishara kuwa wanafanikiwa! Hiyo ndiyo nchi yetu mpya iliyohalalisha dhuluma.
 
Mahakama imedhalilika sana kwa hii hukumu inayolalia kwa mujibu ya utashi wa mtu fulani na sii mujibu wa sheria za nchi.
Hukunmu za hivi ndizo zinazochochea watu kujichukulia sheria mkononi na amani ya nchi kutoweka.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom