kimeta cha ufisadi
JF-Expert Member
- Sep 23, 2011
- 398
- 70
- Thread starter
- #21
membe hafai kuwa rais mbona kwenye mgogoro wa gesi mtwara hakutumia diplomasia ilihali na yeye ni mbunge wa mikoa ya kusini
Diplomasia aliitumiam muda mwingine kukaa kimya napo ni diplomacy