kwa Hotuba ya Mhe, Membe jioni hii bungeni Anastahiri Kuoteshwa 2015 Magogoni

Endapo uchaguzi utakuwa ni kati ya Dr Slaa, Lowassa na Membe, basi Membe atakuwa ni chaguo bora zaidi, nitamuunga mkono.

Nadhani mmeshaiona nchi hii kama kamati ya arusi ama sendoff!Nchi hii haihitaji rais wa kucheka na nyani!Tunataka rais shupavu na jasiri asiye na uongo uongo.Tunaachwa sana na wenzetu kwa kuendekeza viongozi wenye vipaji vya kuongoza bongomuvi

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
Yaani haihitaji nguvu kubwa kujua lengo na dhumuni la mtoa mada! Ni dhahiri unataka kupima upepo juu ya Membe, kama angekuwa na uwezo angempeleka Magogoni akakae kabisa wakati tunasubiri muda muafaka. Napenda kukutahadharisha kwamba unachokitaka wewe hakina nafasi kwa sasa..
 
Akili ndogo sana ndiyo inayoweza kusema Membe anafaa kuingia magogoni. Ni akili ndogo sana inaweza kusema maneno ya kipumbavu aliyoyazungumza membe bungeni ni ya kidiplomasia

Toa bangi zako hapa wewe mpira wa kiume.... Unatumika vibaya zaidi ya K ya CD...
 
Akili ndogo sana ndiyo inayoweza kusema Membe anafaa kuingia magogoni. Ni akili ndogo sana inaweza kusema maneno ya kipumbavu aliyoyazungumza membe bungeni ni ya kidiplomasia

Mkuu Mungi,naomba kukumbusha kuwa hata Mkapa walimponda alipotangaza nia,lakini alipata kuwa rais,Mimi si kada wa ccm,but candidate anayewafaa ccm ni Membe hili liko wazi,ndo mana watu wengi akitajwa Membe wanahangaika na kukosa amani,nzuri zaidi Membe hajatangaza nia .ni vyombo vya habari vinampaisha,sijui akitangaza nia itakuwaje!
 
Muda mfupi ulio pita mhe, Membe amemaliza kutoa mchango wa wizara yake ulio tokana na Taarifa ya kamati ya mhe, Lowasa. Maneno aliyo kuwa akiyatumia mhe, Membe ni ya kidiplomasia ya khali ya juu imewagusa wabunge, wananchi wa kawaida na mataifa ya majirani zetu. Gooooo Membeeeee

hao wananchi umeahoj saa ngapi wewe???acha zako,membe ameshindwa kuwasaidia watu wa mtama ambao naamini hawafiki laki 1 ije kuwa sisi watu mil 45?????
 
Nenda membe
Usiwe na muda wakujibu ujinga
Piga kazi
Hakika umeiweka tz juu kidiplomasia

Hauongi watu uende ikulu
Unaamin kuwa urais si lazima uwe wewe

Unaafya njema haunastrok
Mungu akupenguvu uote haraka
 
Toa bangi zako hapa wewe mpira wa kiume.... Unatumika vibaya zaidi ya K ya CD...

Umeshazoea kukobolewa ndiyo maana unapost ujinga.
Mkuu Mungi,naomba kukumbusha kuwa hata Mkapa walimponda alipotangaza nia,lakini alipata kuwa rais,Mimi si kada wa ccm,but candidate anayewafaa ccm ni Membe hili liko wazi,ndo mana watu wengi akitajwa Membe wanahangaika na kukosa amani,nzuri zaidi Membe hajatangaza nia .ni vyombo vya habari vinampaisha,sijui akitangaza nia itakuwaje!

Ni kweli kwasababu Membe anapigiwa debe na familia ya rais, ikakufanya nawe uamini kuwa anafaa kuwa rais. wewe kwakuwa ni mpuuzi rais akisema mavi ni tamu utalamba
 
Muda mfupi ulio pita mhe, Membe amemaliza kutoa mchango wa wizara yake ulio tokana na Taarifa ya kamati ya mhe, Lowasa. Maneno aliyo kuwa akiyatumia mhe, Membe ni ya kidiplomasia ya khali ya juu imewagusa wabunge, wananchi wa kawaida na mataifa ya majirani zetu. Gooooo Membeeeee

Mnaacha kwenda kumzika marehemu wenu mwanza,mnakalia porojo tu.
 
Membe mchovu tu.

Aliharibu kuongea kwenye mahojiano na BBC kuhusu wafanyakazi wa serikali ya Tanzania kuhusika kuuzia silaha waasi wa Congo, mpaka balozi Mahiga wakati huo akiwa UN akaokoa jahazi.

Kama mnaanza kampeni semeni tu, lakini msitake kutufanya tuamini kwamba Membe ni boonge la diplomat.
Tunataka muamini kwamba Membe ni boonge la kiazi
 
Mleta mada ana akili nyembamba, pole yake. Hatupimi ubora wa rais kwa hotuba yake. Ninyi ndio mnautufanya watanzania tunakosa majibu ya matatizo yetu kwa miaka 52 sasa.
 
Back
Top Bottom