Kwa hotuba ya leo, kwanini aliunda tume?

Kwa hotuba ya leo, kwanini aliunda tume?

Mambo yote aliyozungumza leo yamejibu maswali mengi sana.

Sasa, kama yeye ndiye aliyetoa maagizo aliyoyatoa na kama anasema nguvu iliyotumika ilikuwa sahihi.

Sababu ya kuunda tume ya uchunguzi ya yaliyotokea ni ipi sasa?

Samia has an IQ of an amoeba 🦠.
Hii Tume ni sabuni ya kumsafisha yeye na majambazi wenzake aliowatuma kuua Watanganyika na hotuba ya leo ilikuwa ndiyo hadidu rejea za tume hiyo. Katika siku ambayo Samia amedhihirisha ukilaza wake basi ni leo.
 
Mambo yote aliyozungumza leo yamejibu maswali mengi sana.

Sasa, kama yeye ndiye aliyetoa maagizo aliyoyatoa na kama anasema nguvu iliyotumika ilikuwa sahihi.

Sababu ya kuunda tume ya uchunguzi ya yaliyotokea ni ipi sasa?

Samia has an IQ of an amoeba 🦠.
Huwa nasemaga huyu kilaza ana tatizo la umeme mdogo kichwani,mnasema namuonea
 
Back
Top Bottom