Kwa hotuba ya leo, kwanini aliunda tume?

Kwa hotuba ya leo, kwanini aliunda tume?

Kuna sehemu amesema waandamanaji walikuwa na lengo la kuidondosha dola.

Sasa mimi hapo ndio ananichaganya, ni dola gani hiyo anayoizungumzia wakati tarehe 29 hakukuwa na raisi wa kuongoza hiyo dola kwasababu ilikuwa ni siku ya kumtafuta huyo raisi kupitia kura.
Kumbe siku ya uchaguzi nchi huwa haina Rais? Sehemu gani kwenye katiba imeandika hivyo?
 
Tulikuwa sahihi kutokununua uongo wake na ile huruma yake fake ya kusimamisha wabunge kuwaombea waliouawa. Popote alipojifanya kuongea kiupole kabla ya leo alikuwa yuko kwenye misheni ile ile yakuwafanya watu wajinga.

Manipulation zimegoma, ameingia stage ya Crisis, this is her crisis na CCM yake.
Ahahahaha halafu kweli, mwanzoni alikuwa anajifanya kuongea kwa simanzi ila leo ameyafurumua makucha yake jamani nimeogopa.

Mamkwe mi staki bhana yaani ni anachamba huku kaweka mikono kiunoni LOL 😁😁😁
 
Kumbe siku ya uchaguzi nchi huwa haina Rais? Sehemu gani kwenye katiba imeandika hivyo?

Makafiri ndivyo walivyodanganywa na wale wavaa magauni wa TEC kuwa waende kufanya fujo na wizi nchi haina mwenyewe

Kilichowakuta hawana hamu
 
  • Kicheko
Reactions: Tui
Sijawahi kukujibu huwa nakuona kama mlevi fulani hivi?

Nikuulize kidogo, hivi umeshawahi kupimwa akili?

Hivi kwa akii yako mtu kama kitine na umri kama ule anaishi kwa kupiga punyeto unadhani anaweza kuwa na akili timamu.??...
 
Kuna sehemu amesema waandamanaji walikuwa na lengo la kuidondosha dola.

Sasa mimi hapo ndio ananichaganya, ni dola gani hiyo anayoizungumzia wakati tarehe 29 hakukuwa na raisi wa kuongoza hiyo dola kwasababu ilikuwa ni siku ya kumtafuta huyo raisi kupitia kura.
Serikali haijawahi kutokuwepo... that is very naive thinking
 
Bibi kadata vibaya.

Nina amini dhamira ya ile conference ilikuwa ni kuomba poo kinafiki lakini Mungu kaamua kumuumbua kajikuta anaenda kinyume na script kwa kupanic.

Nina hakika saa hizi anajitetea kuwa hajui nini kilitokea kwa wale waliompa script.
 
Hapo ndipo umuhimu wa elimu unapoonekana. Elimu muhimu sana
Elimu siyo tuh kwenda darasan

Si unaona kitine anasema ameenda shule lakini hajaona umuhimu wa kuoa kageuza sabuni kuwa ni mke wake
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Bibi kadata vibaya.

Nina amini dhamira ya ile conference ilikuwa ni kuomba poo kinafiki lakini Mungu kaamua kumumbua kajikuta anaenda kinyume na script.

Nina hakika saa hizi anajitetea kuwa hajui nini kilitokea kwa wale waliompa script.

Muda wowote mkileta matako yenu barabarani tuko tayari kuyashughulikia
 
  • Thanks
Reactions: Tui
N
Watu wako mbele ya muda, watu walikuwa sahihi kupinga ile tume, Sote tunaona haijachukua muda mambo yote hadharani.

CCM ni matapeli, wakishafanya tukio lao wanaanza kufanya manipulations…. Manipulations zikigoma kufanya kazi ndio wanakuja kwa rangi zao halisi kama leo...

Tulikuwa sahihi kutokununua uongo wake na ile huruma yake fake ya kusimamisha wabunge kuwaombea waliouawa. Popote alipojifanya kuongea kiupole kabla ya leo alikuwa yuko kwenye misheni ile ile yakuwafanya watu wajinga.

Manipulation zimegoma, ameingia stage ya Crisis, this is her crisis na CCM yake.

Ni ngumu kuongoza kizazi cha sasa bila ukweli, haki na uwajibikaji, “atatawala” kwa mabavu sana ni heri tujiandae.
Nakubali Leo kaingia rasmi kwenye Crisis mode
Maza anachamba balaa
 
Back
Top Bottom