Kwa hotuba ya leo, kwanini aliunda tume?

Kwa hotuba ya leo, kwanini aliunda tume?

Ni schematics tu ili kutuliza kelele,kwa sasa ni mwendo wa mateka tu mikono juu,hakuna uhuru wa habari, demokrasia
Endelea kudestabilize usalama wa nchi , kuna point mtafika kila adui ataona anawamudu na ataingia kuwapelekea moto
Mental case ni wavaa magauni wa TEC wanaokimbia kuoa na kugeuza sabuni kuwa mke wao kwa nyeto mafala wale
hiyo ndo sabab ya nyiny kuteka waislam wenzenu ?
 

Attachments

  • ALSHABAAB SALAMU TANZANIA(480P).mp4
    11.3 MB
Mambo yote aliyozungumza leo yamejibu maswali mengi sana.

Sasa, kama yeye ndiye aliyetoa maagizo aliyoyatoa na kama anasema nguvu iliyotumika ilikuwa sahihi.

Sababu ya kuunda tume ya uchunguzi ya yaliyotokea ni ipi sasa?

Samia has an IQ of an amoeba 🦠.
Hata mimi nimejiuliza hilo swali.
 
Mambo yote aliyozungumza leo yamejibu maswali mengi sana.

Sasa, kama yeye ndiye aliyetoa maagizo aliyoyatoa na kama anasema nguvu iliyotumika ilikuwa sahihi.

Sababu ya kuunda tume ya uchunguzi ya yaliyotokea ni ipi sasa?

Samia has an IQ of an amoeba 🦠.
Tumsamehe bure huyu mama huwa anapoteza kumbukumbu
 

Attachments

  • VID-20251128-WA0001.mp4
    3.1 MB
hotuba nzima imejaa lisu,TEC na waandamaji wamepewa pesa kumbe wakati mwingine kukaa kimya ni vema
Kina nani waliopewa pesa hao, au ni ile alosema kuwagawia bakshishi ya fedha zake za allowance?

Kumbuka, mfano Lissu alikuwa na madai na stahiki zake halali za Ubunge na matibabu toka Serikalini zilizokuwa zimepigwa tanchi kiuonevu.

Hotuba yake imeegemea upande mmoja, si ya kukaa mtu ukaiamini hiyo.
 
Lengo anataka Wapinzani wabebeshwe mzigo wa kuchochea maandamano kwa No Reform No Election
Chadema itatangazwa kama kundi la kigaidi hivyo mali zake zote kutaifishwa na kufutwa
Viongozi wa chadema watauawa hadharani na majibu yatatolewa wananchi wenye hasira kali ndo wamefanya mauaji hayo.
NGO zote zitafungwa
Hisia zako zaweza kuwa ni za kweli

Cha kufanya sasa hivi ni kimoja tu, kumuwahi kum - eliminate mapema kabla mikono yake ya damu haijaanza kutekeleza haya!!!
 
Kuna sehemu amesema waandamanaji walikuwa na lengo la kuidondosha dola.

Sasa mimi hapo ndio ananichaganya, ni dola gani hiyo anayoizungumzia wakati tarehe 29 hakukuwa na raisi wa kuongoza hiyo dola kwasababu ilikuwa ni siku ya kumtafuta huyo raisi kupitia kura.
Acha tu
 
Mambo yote aliyozungumza leo yamejibu maswali mengi sana.

Sasa, kama yeye ndiye aliyetoa maagizo aliyoyatoa na kama anasema nguvu iliyotumika ilikuwa sahihi.

Sababu ya kuunda tume ya uchunguzi ya yaliyotokea ni ipi sasa?

Samia has an IQ of an amoeba 🦠.
Huyu Bibi kashawehuka ,hiyo tume sidhani kama kuna mtu mwenye akili timamu ataipa ushirikiano ,tunachoshukuru tu kwamba wanapiga pesa wanaoiongeza kwenye mzunguko.
 
Watu wako mbele ya muda, watu walikuwa sahihi kupinga ile tume, Sote tunaona haijachukua muda mambo yote hadharani.

CCM ni matapeli, wakishafanya tukio lao wanaanza kufanya manipulations…. Manipulations zikigoma kufanya kazi ndio wanakuja kwa rangi zao halisi kama leo...

Tulikuwa sahihi kutokununua uongo wake na ile huruma yake fake ya kusimamisha wabunge kuwaombea waliouawa. Popote alipojifanya kuongea kiupole kabla ya leo alikuwa yuko kwenye misheni ile ile yakuwafanya watu wajinga.

Manipulation zimegoma, ameingia stage ya Crisis, this is her crisis na CCM yake.

Ni ngumu kuongoza kizazi cha sasa bila ukweli, haki na uwajibikaji, “atatawala” kwa mabavu sana ni heri tujiandae.

Mamlaka inayoficha ukweli hujiandikia hukumu polepole, ukurasa kwa ukurasa...
 
During the speech kuna majamaa walikuwa touched wakasimaa na kuanza kupiga makofi..
 
Ni schematics tu ili kutuliza kelele,kwa sasa ni mwendo wa mateka tu mikono juu,hakuna uhuru wa habari, demokrasia
Si nilikuambia mtachanganyikiwa na damu za watu mlizomwaga

Leo amekiri hadharani mbele ya camera

Tunaendelea kuwafuatilia mnozidi kuchanganyikiwa na kujichanganya Hadi mtajane wenyewe
 
Back
Top Bottom