Makofi mengi sana kwa walipa kodi hao.Ha jmn makofi kwao.. Maana
Simuoni msando hapo, yupo wap?Kwa mbaaaali, namuona msando
Hawa nao wanaunguza nn tumbonNa Hawa Je!!
Bila shaka bado wanachafua meza kama zamaniHahaaa hao walikua wachafuzi wa meza
Itakuwa ni huyu.View attachment 441302
Labda hi huyu
Kwani kazi ya pesa ni nini?Kuna watu kutumia pesa ilikuwa ni kawaida sana