Kwa hiyo Mkutano ujao, CCM mtakua mnamjadili Bishop Gwajima au?

Carlos The Jackal

JF-Expert Member
Joined
Feb 6, 2017
Posts
28,749
Reaction score
91,814
Au mtamuita kwenye Kamati ya Nidhamu?.

Gwajima ni mzuri akiwa anashambulia kutokea pembeni, ukweli ni kua Kwa Akili aliyonayo Gwajima, Hakustahili kabisa kua mwanaccm, alipaswa kua Mwanachadema .

Gwajima kawafutulia mbali CHAUMA, NJAA 55 NA GENGE LAO LA KITAHIRA LINALOONGOZWA NA WAHUNI WALIOKO KWENYE MFUMO.

Gwajima Katumia Mbinu ya Kushambulia kutokea pembeni.... Je naye atatekwa?? Atauwawa???
 
Angekuwa anatokea kanisa la mitume walau angeleta sintofahamu..
Lakini kitendo cha kutokuwa katoliki basi atahesabika anapiga kelele tu kama kelele zingine.🤣🤣🤣🤣
 
Au mtamuita kwenye Kamati ya Nidhamu?.

Gwajima ni mzuri akiwa anashambulia kutokea pembeni, ukweli ni kua Kwa Akili aliyonayo Gwajima, Hakustahili kabisa kua mwanaccm, alipaswa kua Mwanachadema .

Gwajima kawafutulia mbali CHAUMA, NJAA 55 NA GENGE LAO LA KITAHIRA LINALOONGOZWA NA WAHUNI WALIOKO KWENYE MFUMO.

Gwajima Katumia Mbinu ya Kushambulia kutokea pembeni.... Je naye atatekwa?? Atauwawa???

View: https://youtu.be/U89Gm7CuGgA?si=cLiJu3C--pcXrfuE
 
Au mtamuita kwenye Kamati ya Nidhamu?.

Gwajima ni mzuri akiwa anashambulia kutokea pembeni, ukweli ni kua Kwa Akili aliyonayo Gwajima, Hakustahili kabisa kua mwanaccm, alipaswa kua Mwanachadema .

Gwajima kawafutulia mbali CHAUMA, NJAA 55 NA GENGE LAO LA KITAHIRA LINALOONGOZWA NA WAHUNI WALIOKO KWENYE MFUMO.

Gwajima Katumia Mbinu ya Kushambulia kutokea pembeni.... Je naye atatekwa?? Atauwawa???
Sio hulka ya Rais Wala CCM.Wana ajenda ya Kupitisha ilani au nyie hamsikii?

Mwisho kwamba CCM watoke madarakani? 😂😂😂😂
 
Au mtamuita kwenye Kamati ya Nidhamu?.

Gwajima ni mzuri akiwa anashambulia kutokea pembeni, ukweli ni kua Kwa Akili aliyonayo Gwajima, Hakustahili kabisa kua mwanaccm, alipaswa kua Mwanachadema .

Gwajima kawafutulia mbali CHAUMA, NJAA 55 NA GENGE LAO LA KITAHIRA LINALOONGOZWA NA WAHUNI WALIOKO KWENYE MFUMO.

Gwajima Katumia Mbinu ya Kushambulia kutokea pembeni.... Je naye atatekwa?? Atauwawa???
CCM inaamini katika uhuru wa mawazo. Ila litakapokuja suala la kupewa baraka na CCM kugombea tena Ubunge chama kitaangalia mchango wake.
 
Au mtamuita kwenye Kamati ya Nidhamu?.

Gwajima ni mzuri akiwa anashambulia kutokea pembeni, ukweli ni kua Kwa Akili aliyonayo Gwajima, Hakustahili kabisa kua mwanaccm, alipaswa kua Mwanachadema .

Gwajima kawafutulia mbali CHAUMA, NJAA 55 NA GENGE LAO LA KITAHIRA LINALOONGOZWA NA WAHUNI WALIOKO KWENYE MFUMO.

Gwajima Katumia Mbinu ya Kushambulia kutokea pembeni.... Je naye atatekwa?? Atauwawa???
Gwajiboy ni Lamine Yamal
 
Hivi kabla ya kuwa mbunge wa Kawe alikuwa mwana CCM kweli?
 
Inahitaji ujasiri wa kiwango cha lami kuyasema aliyotasema leo Gwajima nahisi oengine hata wakuu wa vyombo wamemtuma si bure.

Kilio alichokitoa ametupa faraja sana kwakweli mbaya zaidi huyu anayetaka aitwe Mama anasema drama 🚮
 
Huyu mtu mtu Mbeya asiruhusiwe kwenda Dodoma kesho kutwa.
Anawafundisha askari kumkaidi Amiri Jeshi Mkuu.
Sheria zinawekwa na mtu mwenye nguvu.
Tulipokuwa Wajamaa,kumiliki kiwanda ilikuwa dhambi.
Sheria haziwekwi kwa sababu ya Haki.
Sasa,Askofu Gwajima aache kuongea kama kasuku ili asiwekwe kwenye tundu.
Ujamaa hasa ni USHETANI
 
Yule anasema ,"Tundu Lissu kasema,"No Reform No Election,kosa lake liko wapi?"
Lakini yeye anasema Tundu Lissu yuko ndani kwa sababu vyombo vya Usalama vinaingiliwa kufanya kazi yao."
Vinaingiliwa na nani?
Unaweza vipi kusema kuna mtu amewaloga Polisi,ama sivyo wasingemkamata Tundu Lissu?
 
Back
Top Bottom