Kwa hiyo Dar hakuna pisi Kali?

Kwa hiyo Dar hakuna pisi Kali?

Pisi kali huwezi kuziona ukiwa bom bom huko. Sogea mitaa ya Kino Clein ujionee wachumba wa kwenda.
Mtu kafikia bunju sijui vikindu usafiri wa huko mpk wavutane km wana ugomvi halafu akutane na pisi kali kweli?? 😹😹😹

Aje down town huku tumuonyeshe mji na bata zake..!!
 
Kwaio Dar hakuna pisi Kali🧐🧐🧐

Hii ni wiki ya pili sasa nipo hapa jijinina sijaona uhalisia WA dar wanayoisimuliaga kwenye stori🤣🤣
Nyie pisi Kali za dar mpo wapi??🧐🧐

Wiki inakata wakuu bila hata amsha amsha 🤣🤣🙏
Kweli?Haujawaona hata wale waliongua ngozi za nyuso zao kwa mikorogo kudunda?
 
Kwaio Dar hakuna pisi Kali🧐🧐🧐

Hii ni wiki ya pili sasa nipo hapa jijinina sijaona uhalisia WA dar wanayoisimuliaga kwenye stori🤣🤣
Nyie pisi Kali za dar mpo wapi??🧐🧐

Wiki inakata wakuu bila hata amsha amsha 🤣🤣🙏
Watu wa mkoani na ushamba wao wakifika Magufuli stand ndo wanasema wamefika dar hadi wanapost status.
 
Watu wa mkoani na ushamba wao wakifika Magufuli stand ndo wanasema wamefika dar hadi wanapost status.
Mkuu ww ndio unaoneka ni WA mkoani kabisa nimekuambia Nina wiki mbili hapa kwaio hizo wiki mbili nashuka tu kwenye basi au nalala mbezi
 
Back
Top Bottom