Sasa upo mbagala utazionea wapi😄Kwaio Dar hakuna pisi Kali🧐🧐🧐
Hii ni wiki ya pili sasa nipo hapa jijinina sijaona uhalisia WA dar wanayoisimuliaga kwenye stori🤣🤣
Nyie pisi Kali za dar mpo wapi??🧐🧐
Wiki inakata wakuu bila hata amsha amsha 🤣🤣🙏
Me now nipo zangu ARUSHA KILIFAIR💃🏽Ngoja niwaite kama watanipopoa potelea mbali..
Mideko
Midekoo
Leejay49
cocastic
jannelle
Lamomy
nakwede97
Binti Sayunii
Bantu Lady nk
Bc mm naamini uswahilini ndo kuna pisi kali kuliko huko ushuani, mana ushuani sio rahisi kumjua pisi mana mambo ni mengi kwao tofauti na wa Uswazi unamkuta Yupo natural.Sasa upo mbagala utazionea wapi😄
Katoka ushirombo🙄Karibu mjini mkuu.
Kwani umetokea kijiji gani??
Pisi kali huwezi kuziona ukiwa bom bom huko. Sogea mitaa ya Kino Clein ujionee wachumba wa kwenda.Kwaio Dar hakuna pisi Kali🧐🧐🧐
Hii ni wiki ya pili sasa nipo hapa jijinina sijaona uhalisia WA dar wanayoisimuliaga kwenye stori🤣🤣
Nyie pisi Kali za dar mpo wapi??🧐🧐
Wiki inakata wakuu bila hata amsha amsha 🤣🤣🙏
Sawa tofauti ya ushuani Availability ni expensive, sasa uswazi wanashinda barazani muda wote dohBc mm naamini uswahilini ndo kuna pisi kali kuliko huko ushuani, mana ushuani sio rahisi kumjua pisi mana mambo ni mengi kwao tofauti na wa Uswazi unamkuta Yupo natural.
Karibu nyumbani rafiki yangu wa jamiiforum🙃Me now nipo zangu ARUSHA KILIFAIR💃🏽
Kwaio Dar hakuna pisi Kali
Hapo sasa, 😂😂😂😂Sasa upo mbagala utazionea wapi😄
Niko Songea mie, Dar sipajui hata.Ngoja niwaite kama watanipopoa potelea mbali..
Mideko
Midekoo
Leejay49
cocastic
jannelle
Lamomy
nakwede97
Binti Sayunii
Bantu Lady nk
Asogee Mwenge na Makumbusho. Atajionea pisi za Dar zilivyo nyooka. LolPisi kali huwezi kuziona ukiwa bom bom huko. Sogea mitaa ya Kino Clein ujionee wachumba wa kwenda.