Uzi huu umeletwa kwenu kwa hisani ya Lady doctor
Yaani shem unanizulumu Uzi mchana kweupe Ng'ombe bado wako malishoni?
Kwa hisani ya Arushaone leo uukose usingizi .
Shemeji unauliza MSWATI ana wake wangapi ?
Tafuta rozari au tasbihi wakutiririshie!
mmh! wote hao.. siamini!
Itakuaje hivyo wakati Arushaone anampigisha Mswaki kila siku?
Eti Lady doctor una tatizo la kusakishwa ?
U s i d a n g a n y i k e m p e n z i.