Kwa hili wizara ya elimu this is too much

NchagwaJobango

New Member
Feb 1, 2017
1
0
tokea niwe na akili zangu nikajitambua nikasoma nikamaliza hakuna shida niliyokuwa ninaipata kama hii ya kuangalia matokeo yeyote kupitia website zenu. niliamini ninyi ndio mlitakiwa muwe kwanza katika teknolojia ya habari na mawasiliano.

(enyi wizara ya elimu, sayansi, teknolojia na ufundi) hapo hapana hata kidogo. yani wakingia watu 30,000 wakarequest matokeo kwa sekunde na server zenu hapo hapo ndo mwisho wa maringo.. hapana kabisa kwenye hili. sasa mgekuwa mnahudumia mtandao kama facebook ambao una request 300mil/sec mngesemaje.

please mkianza kututolea matokeo tena embu please muazime hata server. yani kucheki matokeo mpaka mtu aamke saa 8 usiku ndo aangalie. jaribuni basi kuonyesha kweli ninyi ni wizara mko powerfull kila sehemu na wengine waige mfano. sasa kama baba yuko hivi na watoto je.

naimani hili halitajirudia tena. maana imekuwa too much na ni miaka mingi sasa. tafuteni ufumbuzi wa hili suala.
 
Back
Top Bottom