Napenda kuchukua nafasi hii kwenye jukwaa la jamii kuwaambia wanawake kuwa zile lawama za kuwa mnalaumu wanaume kuwa piston zao ni nyembamba na haziwapi furaha wakati wa faragha haziko sahihi maana huwezi kuongelea wembamba wa piston bila kutaja upana wa cylinder na pia huwezi kuongelea unene wa bolt bila kutaja ufinyu wa nati
Hii inataokana nanyi wanawake kuwa mmetembea kwingi kiasi kwamba cylinder na nati zikafit kule kwingine maana mlitumia bolt na piston za V8 sasa mnataka zifit kwenye V4 au V6 haitawezekana maana mlizipanua tayari. kwahiyo tusikimbilie kulaumu kabla hatujajiangalia wenyewe. Tunaambiwa kwamba mwanamme au mwanamke aliye onjaonja kwingi yuko likely kutokuwa na furaha ya ndoa au mahusiano huko mbeleni maana anaweza asipate mwenza wa kulinganisha na yule wa nyuma.
Ndo maana zamani ndoa na mahusiano yalidumu kwasababu wahusika hawakuwa na pa kulinganisha aliwekewa bold au piston ileile ambayo ndio ilitengeneza njia kwenye cylinder na nati kwa hiyo cylinder na nanti zilifit kutokana na ile original piston na bolt bila kujaribishiwa kwenye size mbalimbali zingine na mahusiano yalikuwa yenye furaha
Ushauri wangu iwapo mwanamke una mwenza piston au bolt yake ni nyembaba tulia ipe muda cylinder somehow zitapungua na kufit baadaye vivyo hivyo kwa wanaume maana huwezi kuwa umeondoka kwenye piston pana au bolt pana unataka ifit mara moja kwenye piston mpya au bolt mpya ambayo ni nyembamba na kingine cha maana zaidi punguzeni kuonja onja kwingwi ili mzitunze cylinder na nati kuwa tight kwa ajili ya kuwapa furaha kwenye mahusiano huko mbeleni.